Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuhusi Kinachoongelewa Hapa. Ni Dhahiri Tundu Lissu ni Hazina ya Taifa.Asante kwa taarifa, wahariri tupo na hatuna hofu.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusi Kinachoongelewa Hapa. Ni Dhahiri Tundu Lissu ni Hazina ya Taifa.Asante kwa taarifa, wahariri tupo na hatuna hofu.
P
Chadema hawahitaji kuteka watu ili wapate hela za chamaViongozi wa chadema wanachanganyikiwa,pesa ya kuendesha chama hakuna
SahihiTupambane na mfumo wa kiimla wa CCM.
Huwezi kupambana na "mfumo wa ccm" kwa kuwasikiliza mtu kama huyo Mwenyekiti wa Jukwaa. Ni dhahiri kufuatana na maoni yake yeye anayo ajenda yake tofauti kabisa kuwapoteza njia hawa viongozi wapya wa CHADEMA.Tupambane na mfumo wa kiimla wa CCM.
Hebu fafanua kidogo?Sahihi
Mtwara ina Wapiga kura 1.8M wajimbo 10.
Mtwara Wapiga kura laki 9, wabunge 10
Mkuu Mwami, Mwami Ntale , je unamjua mhariri ni nani na mwandishi wa habari ni nani, hadi useme mimi sio mhariri?. Unajua mimi nafanyia kazi media gani?. Je unaijua PPR Media?, unamjua mhariri mkuu wa PPR Media?.Wewe sio mhariri.
Mimi sio mwandishi wa habari wa CCM, mimi ni mwandishi wa habari wa PPR.Wewe ni mwandishi wa habari za ccm.
Sii kweli!.Kila kitu unakiangalia kwa kutumia jicho la ccm .
Ni kweli CCM itatawala milele!.Ulishakiri humu kuwa unaamini ccm itatawala milele.
Sii kweli!.Kwahiyo huwezi kujizuia unaposhika kalamu yako,bali muda wote huwa unaipendelea ccm.Hufai .
Unrealistic mahaba, let us wait and see atazuiaje uchaguzi na nguvu ya Umma...labda akodishe GEN Z kutoka Kenya. Tanzania bado sana kujitambua, bado sana nguvu ya Umma!Kuhusi Kinachoongelewa Hapa. Ni Dhahiri Tundu Lissu ni Hazina ya Taifa.
Lissu kwa hakika ni mtu makini sana. Hili jibu hapa na dokezo lake huku chini ni jibu sahihi kabisa kuhusu mkutano huo."Hapa hatutazungumza sera zingine tutazungumza habari ya uchaguzi kwasababu tunatekeleza maamuzi ya chama chetu (CHADEMA), tunataka (Wahariri) mtuelewe, tunataka mkituelewa kama mnakubaliana na sisi na nyinyi muwe sehemu ya mapambano haya,"
"Vyombo vya habari ni sehemu muhimu sana ya mapambano haya na ni sehemu muhimu vilevile ya ukandamizaji, kwasababu wanaokandamiza si tu wanakandamiza vyombo vya habari lakini vilevile wanataka kuweka vyombo vya habari viwasaidie katika ukandamizaji wao. Vyombo vya habari vinaweza kutumika kama daraja la ukombozi na vinaweza kutumika na vimetumika katika historia kama vyombo vya ukandamizaji. Tunataka vyombo vya habari vya Tanzania vichague upande wa kuwa vyombo vya ukombozi, vyombo vya kuleta demokrasia katika nchi ya Tanzania."
Swali zuri sana hiliIkitokea huo "Umma" ukakataa au ukishindwa kuzuia huo uchaguzi, CHADEMA Bado itashiriki?
TAHADHALI:"Hiyo shida ndiyo tunayosema isipotatuliwa hakutakuwa na uchaguzi. Mheshimiwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, lugha yangu ilikuwa bayana kabisa, tumesema siyo hatutasusia uchaguzi, tutazuia uchaguzi, lugha siyo kususia uchaguzi lugha ni kuzuia uchaguzi, na tumesema tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya umma, tutawaalika Watanzania wahakikishe uchaguzi huu haufanyiki."
Mkuu 'Retired' nilikuwa sijakusoma baada ya zile kampeni na uchaguzi kufanyika.Unrealistic mahaba, let us wait and see atazuiaje uchaguzi na nguvu ya Umma...labda akodishe GEN Z kutoka Kenya. Tanzania bado sana kujitambua, bado sana nguvu ya Umma!
All in all I wish him the best of the maandalizi from now to attain that!
Handeni Vijijini Wapiga kuraMarekani states 50 zimeungana. Wabunge hutegemea wingi wa watu. Ndio maana kuna states zina wabunge 50 na zingine wawili.
Uingereza zimeungana nchi nne. England, Scotland, Northern Ireland and Wales. Wabunge wao kutokana na idadi ya watu. Ndio maana Nirthern Ireland ina wabunge wachache
Pascal Mayalla nakuona wakati huu ukizungumza.Asante kwa taarifa, wahariri tupo na hatuna hofu.
P
Ulisikia wapi wananchi wooote ndani ya nchi walishiriki kuleta mabadiliko. Sehemu kubwa ya wananchi katika nchi yoyote hufuata tu matokeo ya mapambano kati ya pande zinazopingana.Ikitokea huo "Umma" ukakataa au ukishindwa kuzuia huo uchaguzi, CHADEMA Bado itashiriki?
Siyo swali zuri kama unavyo fikiri wewe.Swali zuri sana hili
Wasira akisikia CDM wanaongea huwa hasinzii kabisaHOW? WAKATI WANA NKUNDA?