Pre GE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwamba lisu hataki uchaguzi.?
sasa bila uchaguzi kutakuwa na chadema kweli.
 
CCM wanaangalia historia ya uoga wa Watanzania. Wanafikiria uoga huo ni wa milele.

Tujikumbushe uoga wa Wamalawi huko nyuma na walipo sasa.

Tujikumbushe uoga wa watu wa Msumbiji na walipo sasa.
 
Asante kwa taarifa, wahariri tupo na hatuna hofu.
P
Mtoa mada kuwa makini na hy bangi unapouziwa, itakuwa wanachanganya na makapi.
Hayo mambo ya tundu lisu anayoongea mtatekeleza lini...

Kubali tu kuna mzungu alikuwa anayaNOTE hapo ataenda kutekeleza kwenye nchi yake...

Ikiwa amerika itapendeza ni aina nyingine ya utumwa😂😂😂😂Tunachukiana bure Utumwa uliisha lini😂😂😂💊💊💊💊💊💊💊💊💊💉💉💉💉💉💉💉usiku💉💉💉💊💊💊
 
Ikitokea huo "Umma" ukakataa au ukishindwa kuzuia huo uchaguzi, CHADEMA Bado itashiriki?
Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.
 
Mimi pia sielewi mantiki ya huyu Mwejyekiti.
Ni mwandishi wa habari aliyefika kupata ukweli wa kwenda kuripoti au ni mjumbe katika mjadala ambaye pia ana uwezo wa kupiga kura kwamba hili liwe au lisiwe kipaumbele cha Chama?

Kwa mtazamo huu, gazeti lake la kesho litakuwa na kichwa " Chadema yaweka kando Sera ya Majimbo": hakuna kujenga umoja na walioshindwa.

Ikiwa chama kimewaita kwa jambo mahususi tena muhimu kama haki ya wananchi kupiga kura, hivi ajenda zinazojaribu kuundwa zina manufaa gani? Ushiriki uchaguzi unaojua unakwenda kuporwa hiyo sera ya majimbo utaitekeleza wapi na vipi?

Na nini malengo ya kueleza umeona wenyeviti wote wa chadema wakitetea sera hiyo, lakini husemi kama katika vipindi higyonkuna wakati gani uchaguzi na haki ya kupiga kura ilivurugwa kwa kiasi tunachoshuhudia kwa sasa. Au haya hakifanyika ninyi hamuoni?
 
Mawazo ya Heche, Tundu Lisu na Mnyika ukimuuzia mzungu anaweza kukupa €330,000,000 naenda zangu kuyauza fasta

👑👑👑👑utumwa wa dhahili👑👑👑👑Hayaji kutekelezwa👑👑

Hayo mambo ya tundu lisu anayoongea mtatekeleza lini...

Kubali tu kuna mzungu alikuwa anayaNOTE hapo ataenda kutekeleza kwenye nchi yake...

Ikiwa amerika itapendeza ni aina nyingine ya utumwa😂😂😂😂Tunachukiana bure Utumwa uliisha lini😂😂😂💊💊💊💊💊💊💊💊💊💉💉💉💉💉💉💉usiku💉💉💉💊💊💊
 
Huyu jamaa hawezi kuongea kitu bila kuweka neno "Mapambano" akili yake imekaa ki mawazo ya kupiganapigana tu na sio kiungozi wa hekima na busara.
 
Upo nyuma ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…