CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.

Uongo uongo tu
Hivi huyu mumeo hakufikishi kileleni hadi muda wote unamuwaza Mbowe tu?
 
Hizi taasisi za kisisasa za kipuuzi sana.

Classmate wangu alijitoa sana kwa chadema, alitumia pesa zake mpaka pikipiki yake kwaajili ya chadema kilichomtokea mpaka leo jamaa amekua mlevi mbwa.

Miaka zaidi ya mitatu tangu wamharibie maisha eti leo kuna tangazo la kuanza kulipana mishahara halafu huyu mwingine analileta kwa mbwembwe zote.

Manina.
 
huyo jamaa yako alikumbwa na nini ? hebu tuambie ili tumsaidie
 
Watu tumetoa mpaka magari na hatuna maisha mabovu, ww unasema mtu katoa piki piki ndio kawa mlevi mbwa! Haya kamwambie wataanza kulipwa sasa hivyo aache pombe na kuwa muinjilist.
 
Huyu alipe mshahara.........???? Labda akistaafu
JamiiForums485238726.jpg
 
Watu tumetoa mpaka magari na hatuna maisha mabovu, ww unasema mtu katoa piki piki ndio kawa mlevi mbwa! Haya kamwambie wataanza kulipwa sasa hivyo aache pombe na kuwa muinjilist.
Inawezekana wewe baada ya kutoa magari ukabakiwa na magari mengine. Uchaguzi wa kuanzia serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu wa 2015 alikua anatumia resources zake zote kwaajili ya chama.
 
Alilazimishwa kutoa hizo resources zake? Usitake kuja na story zako za kutunga ili kuichafua cdm kwa huyo jamaa yako mwenye ufinyu wa maadili.
 
huyo jamaa yako alikumbwa na nini ? hebu tuambie ili tumsaidie
Yule aliyekua meya, Boniface Jacob, anamjua jamaa kwakua jamaa alikua anamuelezea madhila yaliyompata zikafuata danadana na kukimbiana.

So wewe mcheki Boni muulize juu ya Oldgard Urio wa mwananyamala kwa kopa aliyemjibu usinifuate fuate
 
Alilazimishwa kutoa hizo resources zake? Usitake kuja na story zako za kutunga ili kuichafua cdm kwa huyo jamaa yako mwenye ufinyu wa maadili.
Mzee kama una standards ndogo ulizojiwekea katika kuwasilisha kitu usidhani kila mtu yupo kama wewe. Siwezi kutunga uongo over maisha ya mtu.

Umetoa hoja ya wewe kutoa magari and then next thing you can do ni kuniambia natunga uongo? Ili kuchafua chama cha siasa? Vyama vya siasa ni vichafu by default.
 
Back
Top Bottom