CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

Kamanda upo sawa. Mbowe alifanya kosa kubwa sana.

Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
 
Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?
Duh kamanda, hili ni jibu sahihi kweli?
 
Simba na Yanga ni timu zenye washabiki wengi hapa nchini, na zina miaka zaidi ya 50@, lakini hazina viwanja vyake vya binafsi na bado wanalipa mishahara, ndio itakuwa cdm? Muuza face unakwama wapi?

mbowe mwenyewe alishasema ana miezi 6 hajalipa watu mishahara
 
Of course nakuchukulia poa. Umefanya spinning za ajabu kutoka kwenye original comment mpaka kwa Lowasa.

Easily blinded kama wafia chama wengine, kama mshkaji wangu Urio.

Aliyemtaja Lowassa ni ww ukidhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww, kwa kudhani nitakuwa nilimsifia yule mzee tapeli wa kisiasa. Kwa bahati mbaya umekuta mimi sio mwepesi hivyo. Sasa naona unajichanganya tu, mara sijui spinning, sijui blinded na vijimaneno vya kiingereza uchwara ili nikuone msomi, kumbe huna lolote. Tazama vizuri hii Id, sio ya kuivamia kirahisi boss.
 
Hii Sasa inaitwa ukigeuka kushoto- kulia nchale kwa ccm , watalam wa afya jipangeni ,cardiac hypertrophy cases for ccm members soon incidence will be highly, Ccm watatukoma mwaka huu
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro .

Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike , baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni kusuka chama kwa kukusanya wanachama wapya na kuhudumia wanachama wake 24/7 , hivyo ni lazima wapewe vitita viziro kila mwezi ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Kwa kadri ya kumbukumbu zangu CHADEMA yaweza kuwa ndio Chama cha kwanza cha kisiasa nchini Tanzania kuwalipa wafanyakazi wake wote hadi wa ngazi ya chini kabisa Mshahara , vyama vingine watendaji wake wengi huishi kwa kutegemea RUSHWA ZA WAGOMBEA WAKATI WA CHAGUZI za ndani au Uchaguzi Mkuu
 
Aliyemtaja Lowassa ni ww ukidhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww, kwa kudhani nitakuwa nilimsifia yule mzee tapeli wa kisiasa. Kwa bahati mbaya umekuta mimi sio mwepesi hivyo. Sasa naona unajichanganya tu, mara sijui spinning, sijui blinded na vijimaneno vya kiingereza uchwara ili nikuone msomi, kumbe huna lolote. Tazama vizuri hii Id, sio ya kuivamia kirahisi boss.
Mbona kama wewe ndiye umenivamia mimi boss wa magari?

Kama unahisi naandika hayo maneno ili unione msomi unakosea kwasababu hiyo ni lugha tu siyo alama ya usomi.

Wewe huna tofauti na mwanachama mwingine yeyote wa chadema usijifanye ni wa tofauti boss.
 
actually Jiwe ameijenga sana CDM maana watu waliiona CDM kama mkombozi wao , hivyo ikajengeka mioyoni !
There is another way of looking at it: udikteta wa Jiwe umesaidia pia, indirectly, kuficha mapungufu ya vyama vya upinzani. Na mtihani mkubwa kwao ni kabaki relevant, should Mama Samia meet expectations of Watanzania wengi.
 
Ila zina.majengo yao.
Moja ya maajabu 7 ya dunia ni mbowe kula ruzuku za chama bila makamanda kushtuka

Kwa umri ziliokuwa nao zilipaswa kuwa na viwanja kama ilivyo Azam. Ofisi zao zina hadhi gani? Hiyo ccm yenyewe unayosifia 80% ya ofisi zake ni za enzi za mfumo wa chama kimoja. Leo hii kapitie viwanja vya mpira vinavyomilikiwa na ccm vina hali gani, na majengo yake kaangalie hata kupiga rangi imekuwa ni kizungumkuti. Majengo ya ccm ndio yamebakia na miundombinu ya kizamani kwenye miji, maana bado hata madirisha yake yana zile nyavu kama za wachoma mahindi hapa mjini.
 
Huna jipya naona unajibebisha tu hapa.
 
Source ya habari mi upuuzi mtupu.

Malisa ni mlamba viatu wa Mbowe
Hivi we kiumbe una matatizo gani? Yaani hadi nakuonea huruma hujitambui kabisa, wakati mwingine bora upite kimya kimya.
 
Back
Top Bottom