CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

Tunaomba mapato na matumizi ya zile sadaka tulizochangia kipindi cha kampeni mwakajana. Msidhani tumesahau.
Wanaccm mkisikia jina la Mbowe tu tayari mnaanza madai hewa! Mimi bado natafakari ninavyobambikiwa kulipa kodi ya jengo hewa wakati hata bei ya kitasa cha mlango wa choo siijui!
 
Hichi chama kina roho ngumu kweli kweli sasa kinastahili kuchukua dola
 
K
Wanaccm mkisikia jina la Mbowe tu tayari mnaanza madai hewa! Mimi bado natafakari ninavyobambikiwa kulipa kodi ya jengo hewa wakati hata bei ya kitasa cha mlango wa choo siijui!
KWANI WANACCM NDIO WALIOCHANGISHA SADAKA ZILE KWENYE MIKUTANO YA CHADEMA?
 
Back
Top Bottom