Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
UsiogopeKama tulishindwa kutoa mishahara kipind kile tukipata ruzuku kubwa tutaweza Sasa kweli na je zoez litadumu kwa mda gani?
Chama changu nakipenda Sana lakn kwa hili mh?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kanusha kwanzaJikite kwenye mada inayozungumzia mishahara
Wewe kweli taahira Malisa anahusikaje hapa? Kila ukiwa na hamu ya, kuingiliwa lazima amtaje Mbowe.Source ya habari mi upuuzi mtupu.
Malisa ni mlamba viatu wa Mbowe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bangi mbaya sana
Hivi huyu mumeo hakufikishi kileleni hadi muda wote unamuwaza Mbowe tu?Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.
Uongo uongo tu
Jaribu kuheshimu mawazo ya mtemi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bangi mbaya sana
huyo jamaa yako alikumbwa na nini ? hebu tuambie ili tumsaidieHizi taasisi za kisisasa za kipuuzi sana.
Classmate wangu alijitoa sana kwa chadema, alitumia pesa zake mpaka pikipiki yake kwaajili ya chadema kilichomtokea mpaka leo jamaa amekua mlevi mbwa.
Miaka zaidi ya mitatu tangu wamharibie maisha eti leo kuna tangazo la kuanza kulipana mishahara halafu huyu mwingine analileta kwa mbwembwe zote.
Manina.
Mkuu umeacha kujadili bajeti!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bangi mbaya sana
TUNAOMBA MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE SADAKA TULIZOCHANGIA KIPINDI CHA KAMPENI MWAKAJANA. MSIDHANI TUMESAHAU.
Hizi taasisi za kisisasa za kipuuzi sana.
Classmate wangu alijitoa sana kwa chadema, alitumia pesa zake mpaka pikipiki yake kwaajili ya chadema kilichomtokea mpaka leo jamaa amekua mlevi mbwa.
Miaka zaidi ya mitatu tangu wamharibie maisha eti leo kuna tangazo la kuanza kulipana mishahara halafu huyu mwingine analileta kwa mbwembwe zote.
Manina.
Inawezekana wewe baada ya kutoa magari ukabakiwa na magari mengine. Uchaguzi wa kuanzia serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu wa 2015 alikua anatumia resources zake zote kwaajili ya chama.Watu tumetoa mpaka magari na hatuna maisha mabovu, ww unasema mtu katoa piki piki ndio kawa mlevi mbwa! Haya kamwambie wataanza kulipwa sasa hivyo aache pombe na kuwa muinjilist.
Inawezekana wewe baada ya kutoa magari ukabakiwa na magari mengine. Uchaguzi wa kuanzia serikali za mitaa mpaka uchaguzi mkuu wa 2015 alikua anatumia resources zake zote kwaajili ya chama.
Yule aliyekua meya, Boniface Jacob, anamjua jamaa kwakua jamaa alikua anamuelezea madhila yaliyompata zikafuata danadana na kukimbiana.huyo jamaa yako alikumbwa na nini ? hebu tuambie ili tumsaidie
Mzee kama una standards ndogo ulizojiwekea katika kuwasilisha kitu usidhani kila mtu yupo kama wewe. Siwezi kutunga uongo over maisha ya mtu.Alilazimishwa kutoa hizo resources zake? Usitake kuja na story zako za kutunga ili kuichafua cdm kwa huyo jamaa yako mwenye ufinyu wa maadili.