johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu ni Moja Takatifu La Mitume ππ π π
Chadema Tatizo lao kubwa ni uhafidhina tuh wa Mangi yule.
Kwani akimuachia Tundu lisu kiti kile ye anapungukiwa na nini?
Au kwa kuwa Tundu lisu siyo Mchaga.
Hiyo slogan inaondoa maana ya maandamano ya amani.I disagree.
Samia can go peacefully or forcibly.
Peacefully meaning either via peaceful ballot box or peaceful demonstrations subsequent to which she resigns on grounds of logical appeals.
Forcibly either via parliamentary impeachment or violence of some sort. T
Tatizo liko wapi?
CHADEMA haifi labda imeingiliwa na Mashushushu.Anakiua hiko chama.
Hiyo slogan inaondoa maana ya maandamano ya amani.
Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario
Kila la heri.Forcibly either via parliamentary impeachment or violence of some sort. T
Hatari sana Mkuu...Kwani lini Tanzania kuliwahi kuwa na Maandamano?
Msiwe matutusa ππ
Kwako The Big Show π
Hakika,huo ndiyo ukweli.Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario
Mia kwa Mia.Hashtag na Slogan ingekuwa CCM MUST GO ingependeza sana kwasababu ni Chama kilichochokwa.
Sio kweli, serekali imeamua kujifichia humo maana tayari vyombo vya dola vimeshawaua wale vijana akina Soka na wenzake. Sasa hapo wanalazimisha ionekane hizo nguvu ni kwa ajili ya kauli ile, ila lengo ni kuficha uhusika wa serekali kwenye utekaji na mauaji ya wapinzani.Na hii ndo imeleta shida. Ikaonekana kama maandamano ni ya kumpindua raisi.
Hicho chama kikifa wewe unapungikiwa nini!.Mbowe uwezo wake umefikia mwisho,hatusemi aache siasa,ila angeacha kiti kwa mwingine akabakia kuwa hata mshauri.
Anakiua hiko chama.
Endelea kusubiri.Defend ur case
Unashanga Nini wakati mauaji ya mzee kibao yamefanywa na state security ambayo ipo chini ya ssh? Ulitaka waseme must stay!Friends and Our Enemies,
Nimemskia mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihamasisha wafuasi wake eti kesho wajitokeze kwa wingi kushiriki maandamano ya amani na maombolezo.
Kinachostaajabisha zaidi yeye anasema ni amani na maomboleze kisha hapo hapo anatembea na kauli mbiu ya kusema Samia must go..!
Umeshasema must go,amani itokee wapi hapo?
Na wale ambao ni walinda amani ya nchi hii na mali za watanzania wengine ambao siyo wafuasi wa CHADEMA na ambao siyo wafuasi wa wanasiasa wowote unataka wakae kimya wakuangalie?
Hamasisha wafuasi wako ingieni Road kisha tuone mwisho wake.
Shame on you CHADEMA, before hamjafikia hatua ya kusema.Samia must go,mlipaswa kwanza kuanza slogan hiyo na Freeman Mbowe.
Soma Pia:
- Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
- "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!
Mnataka kuonyesha sharubu kisa Samia mwanamke siyo?yule mwanaume mwenzenu mlifyata mikia mkakimbia nchi .
Ingia Road kamanda,Tena beba kipaza sauti kabisa ulisema Samia must goo...must goooo... π π π
Hii slogan ya "SAMIA MUST GO" kuichanganya na Maandamano ya AMANI hata mimi imeniletea ukakasi, sijui ulikuwa ni ushauri wa nani?!
Labda ingekuwa "SAMIA MUST GO 2025 THROUGH BALLOT!" Ingefaa kama Hashtag.
Basi yaishe,zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe.Hicho chama kikifa wewe unapungikiwa nini!.
Jiandae ukaandamane...Point ya Chadema ni kuwa Samia must go anyhow provided that it is within the limits of the constitution and the related statutes. Katika Hali alikolivikisha Taifa Kubaki ofisini Sio option