CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

I disagree.

Samia can go peacefully or forcibly.

Peacefully meaning either via peaceful ballot box or peaceful demonstrations subsequent to which she resigns on grounds of logical appeals.

Forcibly either via parliamentary impeachment or violence of some sort. T

Tatizo liko wapi?
Hiyo slogan inaondoa maana ya maandamano ya amani.
 
Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario

Matamko ya kupinga STATE sponsored impunity yametoka kona zote ndani na nje ya nchi
 
Kwani lini Tanzania kuliwahi kuwa na Maandamano?

Msiwe matutusa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwako The Big Show ๐Ÿ˜€
Hatari sana Mkuu...

Anawaandamanishaa bila huruma na jua Kali kama hili la dsm kisha akifika mwisho anawambia kunja ngumi kunja ngumii zungushaa zungushaa...

Anamalizia na kusema PiiiPooz...!!

Narudisha kwako Mkuu...
 
Hashtag na Slogan ingekuwa CCM MUST GO ingependeza sana kwasababu ni Chama kilichochokwa.
 
Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario
Hakika,huo ndiyo ukweli.

Kwenda ni kucheza ngoma ya chadema against Serikali/CCM.

Hatusemi kuwa chadema hawana hoja,la hasha hoja wanayo...ila sasa hii kitu imekaa vibaya.
 
Na hii ndo imeleta shida. Ikaonekana kama maandamano ni ya kumpindua raisi.
Sio kweli, serekali imeamua kujifichia humo maana tayari vyombo vya dola vimeshawaua wale vijana akina Soka na wenzake. Sasa hapo wanalazimisha ionekane hizo nguvu ni kwa ajili ya kauli ile, ila lengo ni kuficha uhusika wa serekali kwenye utekaji na mauaji ya wapinzani.
 
Friends and Our Enemies,

Nimemskia mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihamasisha wafuasi wake eti kesho wajitokeze kwa wingi kushiriki maandamano ya amani na maombolezo.

Kinachostaajabisha zaidi yeye anasema ni amani na maomboleze kisha hapo hapo anatembea na kauli mbiu ya kusema Samia must go..!

Umeshasema must go,amani itokee wapi hapo?

Na wale ambao ni walinda amani ya nchi hii na mali za watanzania wengine ambao siyo wafuasi wa CHADEMA na ambao siyo wafuasi wa wanasiasa wowote unataka wakae kimya wakuangalie?

Hamasisha wafuasi wako ingieni Road kisha tuone mwisho wake.

Shame on you CHADEMA, before hamjafikia hatua ya kusema.Samia must go,mlipaswa kwanza kuanza slogan hiyo na Freeman Mbowe.

Soma Pia:

Mnataka kuonyesha sharubu kisa Samia mwanamke siyo?yule mwanaume mwenzenu mlifyata mikia mkakimbia nchi .
Unashanga Nini wakati mauaji ya mzee kibao yamefanywa na state security ambayo ipo chini ya ssh? Ulitaka waseme must stay!
 
Niwaombe wadau wote wenye uzoefu wa gharama za kutibu majeraha yatokanayo na vurugu na vipigo mbalimbali.

1-Kupasuliwa fuvu.....200,000/=
2-Kuvunjwa taya na gongo la kipolisi....100,000(kianzio)
3-Kupasuliwa bandama....200,000/=
4-Kutovugwa ini,kongosho,figo....150,000 halafu dialysis 150,000 kwa wiki
5-Kuvunjwa senta bolt ya kiuno...25000 kianzio
6-Kutobolewa jicho moja....50,000 kianzio
7-Kung'olewa jino....5000
8-Kupasuliwa yai za kende....50,000
9-Kupasuliwa chembe ya moyo...
10-Kuvunjika shingo...
11-Kuteguliwa uti wa mgongo....
12-Kupasuliwa ngoma ya sikio kwa mbata...5000 ya file
13-Kupasuliwa taya na kitako cha bunduki...20,000
14-kutapishwa kisusio...5000
15-Kutoneshwa busha/mshipa...bure
16-Kugeuzwa kisahani cha goti...150,000
17-kutoneshwa /kupasuliwa tezi dume bure
18-Kutobolewa kibofu au puru(rectum) 200,000 kianzio
19-Kuzikwa na manispaa...bure
20-Vipimo vya Xray,CT scan,Ultra sound,MRI, 250,000.

N.B BEI NILIZOWEKA SIO HALISI

hebu tuongeze nyingine na kuweka gharama zake..
 
Ingia Road kamanda,Tena beba kipaza sauti kabisa ulisema Samia must goo...must goooo... ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

..wameshatoa ufafanuzi wa kauli ya " Samia Must Go. "

..tatizo la wahafidhina mmeshupaza shingo mnataka kuwapiga.

..Chadema wamesisitiza maandamano ni ya AMANI.
 
Hii slogan ya "SAMIA MUST GO" kuichanganya na Maandamano ya AMANI hata mimi imeniletea ukakasi, sijui ulikuwa ni ushauri wa nani?!

Labda ingekuwa "SAMIA MUST GO 2025 THROUGH BALLOT!" Ingefaa kama Hashtag.

Point ya Chadema ni kuwa Samia must go anyhow provided that it is within the limits of the constitution and the related statutes. Katika hali alikolifikisha Taifa yeye kubaki ofisini Sio option.
 
Back
Top Bottom