mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Nendeni mkavunjwe miguu,halafu mnapelekwa polisi mnawekwa masaa 12,mpaka mkifika hospitali guu limeoza linakatwa
Yes kwa jina lako lazima ujionee aibu
Hilo swala lisiingiliwe na hao watoto wadogo kisiasa,wenye papara na utoto mwingi watatusambaratisha.Wapo watu wenye busara kama Mzee Warioba wanaweza wakaisaidia serikaliMimi naiona hii katika mwonekano tofauti na huo uliouweka hapo wa miaka hiyo ya 80.
Hii ya sasa hivi itachochewa zaidi tokea ndani, kutokana na utawala unaojipa madaraka ya kuwakandamiza watu wake moja kwa moja na kuwafanya mateka wao kwa kuwanyima hata haki ya kuchagua viongozi wanaowataka wao.
Mbona Dr Mashinji simuoni kwenye hicho kipeperushi au yeye yuko Huru?!
Raisi wanu ninyi na kina NaniChadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomuua Akwilina wameshitakiwa kwenye mahakama ipi ?
Sasa naelewa maana ya maneno aliyoyasema Mbowe kwenye mkutano wa akina mama.Siku zote tumefanya hivyo , hii ni kwa sababu viongozi wote wa chadema ni wafungwa watarajiwa au maiti
Safari hii tunajitakia wenyewe, kwa kujiona miamba, na wala sio kwa msimamo wowote wa kifilosofia maalum tunayoisimamia.Hilo swala lisiingiliwe na hao watoto wadogo kisiasa,wenye papara na utoto mwingi watatusambaratisha.Wapo watu wenye busara kama Mzee Warioba wanaweza wakaisaidia serikali
Mkuu usiombe yatukute,hawa jamaa wanakuja na process yenye procedures zenye vipengere lukuki.
Mwisho wanakupa marks kupima kwa kiasi gani umetekeleza matakwa hayo.
Kenya yaliwakuta sio kwamba it was free lunch.
Sura yake imekua ikibadilika na kuwa ya kutisha kila siku. Alikua na sura ya utulivu na upole sasa kama vile masikio yanarefuka nakumfanya awe na sura ya yule mwovu. Au ni macho yangu tu?????
Kwann usiseme kiini ni nini umekomaa na clip tu cjui ndo unejifu za leo ku-upload clips jf.
Sent using Jamii Forums mobile app