Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Katibu mwenezi na mbunge mtarajiwa wa kyela. Ngoja bunge livunjwe alafu utashuhudia mambo.View attachment 1461679
Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu
View attachment 1461681
Huko mbali sana. Baada ya bunge kuvunjwa tu. Wanagawana viti na meza za mta wa ufipa.Na kifo chake ni October mwaka huu
baada ya bunge kuvunjwa hakuna chama kitakachokuwa na mbunge , wote tutaanza upya , na ndio maana kwenye kila jimbo chadema ina wagombea ubunge zaidi ya watano , hata kwenye yale ambayo yanaongozwa na wabunge wake wasio mamlukiKatibu mwenezi na mbunge mtarajiwa wa kyela. Ngoja bunge livunjwe alafu utashuhudia mambo.
Wabunge na wanachama wengi watahama Chadema. October hamapati hata diwani wakuwapa ruzuku.baada ya bunge kuvunjwa hakuna chama kitakachokuwa na mbunge , wote tutaanza upya , na ndio maana kwenye kila jimbo chadema ina wagombea ubunge zaidi ya watano , hata kwenye yale ambayo yanaongozwa na wabunge wake wasio mamluki
Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .Wabunge na wanachama wengi watahama Chadema. October hamapati hata diwani wakuwapa ruzuku.
utakufa wewe na uzao wako chadema kitaishiChama kimekufa hiki
Bilionea anayefanya siasa za kukomboa watu anakiibia chama mabil ya shilingi. Wewe na utajiri wako unataka ugombee Kyela hata baiskeli huna.Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .
Mimi unayenitukana kila siku hapa ni tajiri wa kitanzania ninayemiliki viwanda kadhaa ( siyo cherehani 4 ) , na nimeajiri watanzania wenzangu zaidi ya 300 na sijawapunguza hata baada ya uchumi wa Tanzania kuporomoka kwa kasi ya radi .
Tunafanya siasa za ukombozi , hatutafuti hela maana tayari tunazo za kutosha mno .
Chukua haya maneno uwapelekee na masikini wenzio ili waelewe .
Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .

Billion za michango ya wabunge ziko wapi?
Bilionea anayefanya siasa za kukomboa watu anakiibia chama mabil ya shilingi. Wewe na utajiri wako unataka ugombee Kyela hata baiskeli huna.
Kweli unachosema Ccm ni chama cha maskini. Ndio maana kuna jembe na nyundo. Nyie mabepari nendeni London baada ya kuibia Chadema.
nimekuonyesha jambo ambalo hukulijua bali ulisukumwa na propaganda , sasa ni juu yako kulifanyia kazi .Bilionea anayefanya siasa za kukomboa watu anakiibia chama mabil ya shilingi. Wewe na utajiri wako unataka ugombee Kyela hata baiskeli huna.
Kweli unachosema Ccm ni chama cha maskini. Ndio maana kuna jembe na nyundo. Nyie mabepari nendeni London baada ya kuibia Chadema.
Hao wote walishasafishwa ndani ya Ccm. Ndio maana hatakiwi hata fisadi achangie mkutano mkuu wa Ccm kwa pesa zake. Wengine wapo lupango. Hii ni Ccm nyingine. Tafakari.
Vp Sasa ule mpango wetuNa kifo chake ni October mwaka huu
Hao wote walishasafishwa ndani ya Ccm. Ndio maana hatakiwi hata fisadi achangie mkutano mkuu wa Ccm kwa pesa zake. Wengine wapo lupango. Hii ni Ccm nyingine. Tafakari.
Masahihisho - Chadema ina wanachama mil 12, 670 , 553 hii ni hesabu ya hadi march 25 2020
Kuna kitu ambacho ccm hamkijui , Chadema haifanyi siasa kwa sababu ya ruzuku , huyo Mbowe unayemjua ni bilionea mwenye kumiliki mahotel nje ya nchi , ndio maana kabla hajahukumiwa faini ya mil 70 kwenye kesi ya Akwilina , wajinga waliombambika kesi walifunga kwanza akaunti zake , mimi nimefahamiana na Mbowe jijini London ninakouza bidhaa zangu , baba yake Mbowe ni miongoni mwa watanzania wachache waliompa Mwl Nyerere nauli ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru ambao ccm inautumia kuteka watu na kuwatesa wengine , waulize vizuri wanaokutuma .
Mimi unayenitukana kila siku hapa ni tajiri wa kitanzania ninayemiliki viwanda kadhaa ( siyo cherehani 4 ) , na nimeajiri watanzania wenzangu zaidi ya 300 na sijawapunguza hata baada ya uchumi wa Tanzania kuporomoka kwa kasi ya radi .
Tunafanya siasa za ukombozi , hatutafuti hela maana tayari tunazo za kutosha mno .
Chukua haya maneno uwapelekee na masikini wenzio ili waelewe .
Kwani wewe ni nani mpaka uambiwe kila kitu? Hujui kuna wana Ccm kibao ambao walikuwa viongozi wa vyama vya ushirika wapo ndani? Na huo ni mfano mmoja tu.ππππππ Hebu acha uongo wewe! Walisafishwa lini? Ushahidi uko wapi!?
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia.
Najiuliza maswali
1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni akina Nani?wakubwa kiitifaki Kwa Polepole ni akina Nani?
2.Majizi ndani ya Chama wao hawakamatwi?Kwa hiyo Takukuru wanamipaka ya nani akamatwe na Nani asikamatwe?
Kama ndiyo tunavyoendesha nchi hivi,basi Safari yetu ni ndefu sana
Polepole: CCM kuna majizi makubwa kila nikitaka kiwataja wakubwa wananizuia, swali hao wakubwa ni nani zaidi ya m/kiti. Ukiwa ccm hukamatiki? - JamiiForums
wewe ni mgeni jf , waulize wanaokutuma na kukulipaUnaniudhi sana kwa upotoshaji na uwongo
Kwani wewe ni nani mpaka uambiwe kila kitu? Hujui kuna wana Ccm kibao ambao walikuwa viongozi wa vyama vya ushirika wapo ndani? Na huo ni mfano mmoja tu.
ππππWacha UONGO WEWE! Huu wizi uwekwe hadharani halafu majizi yaondolewe kimya kimya!? π³π³π³π³
Na hao ambao Chakubanga Polepole kakatatazwa kuwataja na WAKUBWA ni akina nani!?
Inanikumbukusha Kikwete DHAIFU alipodai kulivua GAMBA ccm baada ya kutishwa kwamba naye wataanika uovu wake hadharani ikiwemo mabilioni ya mafisadi yaliyomuwezesha kumchafua SAS na yeye kuingia Ikulu AKANYWEA πππhakuna gamba lililovuliwa wala mama yake gamba.
CCM yote imejaa majizi na wahuni.