CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Hapa wamenunua au wsmepanga Kama wamepanga ni ufujaji wa Pesa ya Rudhuku.
 
Hao ni sawa sawa na semaji Moja wakati machawa wenzake tena wadogo zake wanazindua nyumba mpya za kisasa za kuishi yeye anapambana na mademu zaloo shindikana. Hawa ni chama wanazidiwa mpaka na mwijaku kazindua gorofa lake ?
 
Kwa hiyo hii ni Mali ya CHAMA na wanatoka kwenye upangaji, au siyo?

If that's the case, then hiyo imekaa vyema na kwenye eneo hilo, midomo ya chawa itakuwa imefungwa.

Nadhani ajenda ya chawa wa CCM na Samia sasa yaweza kuwa, ooh mmejenga jengo dogo au ooh mnatakiwa kujenga ghorofa ishirini na upuuzi mwingine wa ki - CCM namna hiyo.
 
Hao waliokuwa wanapiga kelele kuhusu ofisi Chadema, wamesahau kuwa Chadema ilikuwa inajenga majengo makubwa ya ofisi ndani ya vichwa vyetu. Na imefanikiwa sana
Wachana na wagonjwa wa akili hao
 
Kapige mswaki kwanza mzee maana kwako ni asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…