CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

Walishindwa hata kupaka rangi mpya jamani? Jengo jipya la chama rangi ya zamani!

Anyways, ni jambo la kupongezwa… at last!
Kinyooongeeeeee
 
Hongereni mmejitaidi sana kuliko CUF na ofisi yao pale Buguruni.
Asante tumewazidi hata ccm maana ofisi za ccm zote tulizijenga kwa kujitolea wakati wa chama kimoja
 
Mkuu ukiona comment yangu hata usipaniki akili ninazo labda ww uwe na uelewa usiweke hisia kali kwenye vyana hao chadema wakichukua nchi bado ccm itatawala
Akili za kindezi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…