CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

CHADEMA kwenye suala la Ofisi mnashindwa akili hata na Mwijaku!
Sasa hilo jengo unaona ni design ya Ofisi?!
Mnapenda sana short cuts ambazo ni wrong cuts!
Sasa hapo si wamenunua Chief. Na zingatia hapo ni mikocheni sio huko porin
 
KWANI CCM INA OFISI YA KWAKE? UWE NA AKILI KICHWANI, HAYO NI MAJNGO YA SERIKALI WAKATI WA CHAMA KIMOJ. CHADEMA IKIINGIA AU CHAMA CHOCHOTE CHA MAANA KIKIINGIA MADARAKANI KITARUDISHA MAJENGO YOTE SERIKALINI NA VIWANJA VYOTE.
Na hilo wanalijua hasa ndio maana kila mbinu zitafanyika kuhakikisha upinzani hauchukui nchi.
 
Mbona kama godown la kuhifadhi pamba
 
Inakuuma eee?
 
Inakuuma eee?
inauma sana ndrugu yangu leo unaongea vizuri tu hata kutamka maneno unatamka vizuri Mathalani neno sasa siku iyo itakua thatha, kabisa itakua kabithaa taya zimepishana uko kitandani kiuno kimelegezwa 🀭

napata uchungu utakavyo kua unachechemea huku Infinix yako hujui iko wap πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…