rumplelstiltskin
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 232
- 339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jino la pembe si dawa ya pengo,wahenga walinena.Andy na Liam hawakufanana hata kidogo, kuanzia muonekano, acting zao, Andy alikua Andy na Liam anabaki kua Liam, pia ndio ilichangia Spartacus ikaisha mapema.
Black Panther ni Character sio Movie ule ulikuwa utambulisho wa Character tu.Movie ambayo sijawah kuielewa wala kuipenda.
Imejaa "imagination" sana kuliko uhalisia.
Nb.
Mtazamo wangu
Miaka yote hiyo ni kijana mbichi?Inasikitisha. Kumbe watu tunawaona wanafuraha kumbe ndani wanapigania maisha yao. Sikuwahi kusikia mahali kuwa ana cancer. Too sad. Kaondoka kijana mbichi kabisa. Mungu ampumnzishe kwa amani.
Bongo movie hii hii ambayo jb ni baba yake majuto?R.I.P, halafu mie nilijua bongo movie!
Creator or God.Miaka yote hiyo ni kijana mbichi?
Apumzike huko aliko halafu hivi wakanda ndo nini?
No. Black Panther na Captain wote wananguvu za ziada.Black Panther moja ya Character nzuri sana ambao wanapigana Hand to Hand fight inayovutia wapo watatu Black Panther, Cpataina America na Winter Solder hawa hawana Super Power ila kwenye mapigano ya kawaida watamu.
Ukitaka kujua character ya Black Panther angalia Captain America Civil War ndio utaona Marvel Fans inabidi wasikitike tu.
Hivi mnawezaje kuangalia haya madude .MTU anapigwa risasi hafi?No. Black Panther na Captain wote wananguvu za ziada.
Black panther anatumia suit yenye uwezo mkubwa kwa kutumia vibranium pia alitumia ile dawa aliyokunywa wakati anatawazwa ufalme. Ile inamuongezea speed na strength
Cap alipewa super soldier serum ndio maana ana nguvu nyingi hata ukimpiga risasi hafi... Winter soldier pia alipewa dawa ndio maana kaweza kuishi miaka 100 bila kuzeeka na kuwa very powerful
Kwa marvel character ambae anapiga mkono kwa mkono na hana supepower ni Shang Chi.. mwamba anapiga hardcore kungfu na Wushu, MCU nzima ndio anaongoza. Ngoja mwakani ifike ujionee
Unavyonishangaa ndio mimi navyowashangaa mnaopendaHivi mnawezaje kuangalia haya madude .MTU anapigwa risasi hafi?
Ndiyo mkuuBongo movie hii hii ambayo jb ni baba yake majuto?