Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

IMG_20200829_143457_624.JPG
 
Jamaa kamwa kwa mda mrefu sana,
Ngoja apumzike.
 
Andy na Liam hawakufanana hata kidogo, kuanzia muonekano, acting zao, Andy alikua Andy na Liam anabaki kua Liam, pia ndio ilichangia Spartacus ikaisha mapema.
Jino la pembe si dawa ya pengo,wahenga walinena.
 
Movie ambayo sijawah kuielewa wala kuipenda.

Imejaa "imagination" sana kuliko uhalisia.

Nb.
Mtazamo wangu
Black Panther ni Character sio Movie ule ulikuwa utambulisho wa Character tu.

Huijui vizuri hii chacter itakuwa.
 
Black Panther moja ya Character nzuri sana ambao wanapigana Hand to Hand fight inayovutia wapo watatu Black Panther, Cpataina America na Winter Solder hawa hawana Super Power ila kwenye mapigano ya kawaida watamu.

Ukitaka kujua character ya Black Panther angalia Captain America Civil War ndio utaona Marvel Fans inabidi wasikitike tu.
 
No. Black Panther na Captain wote wananguvu za ziada.
Black panther anatumia suit yenye uwezo mkubwa kwa kutumia vibranium pia alitumia ile dawa aliyokunywa wakati anatawazwa ufalme. Ile inamuongezea speed na strength
Cap alipewa super soldier serum ndio maana ana nguvu nyingi hata ukimpiga risasi hafi... Winter soldier pia alipewa dawa ndio maana kaweza kuishi miaka 100 bila kuzeeka na kuwa very powerful
Kwa marvel character ambae anapiga mkono kwa mkono na hana supepower ni Shang Chi.. mwamba anapiga hardcore kungfu na Wushu, MCU nzima ndio anaongoza. Ngoja mwakani ifike ujionee
 
Hivi mnawezaje kuangalia haya madude .MTU anapigwa risasi hafi?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom