Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Komaa na rendering kabla ya kutafuta kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu boss
Huyu kuna watu anawatafuta anatumaini watawasiliana nae! Mwogopeni.Weka picha nyingine.
Hatari kweli kweli...Huyu kuna watu anawatafuta anatumaini watawasiliana nae! Mwogopeni.
Ni sawa na wale wanaotuma private messages eti "kaka napenda thread zako zinaonyesha wewe mtu makini sana na unachoongea na zinafundisha sana. Una mawazo mazuri naomba tufahamiane zaidi. Naitwa Maimuna, namba yangu hii hapa".
Kuna wahanga walidanganywa kirahisi na hizo private message na picha fake wakaishia Koko beach!
Kuna wengine wanaomba msaada wa pesa kidogo, eti brother nimebanwa sana leo, naomba unirushie angalau Tshs 20,000. Ukimrushia tu unaishia Koko Beach!
Huwa najiuliza, katika watu wote waliomo humu JF, kwa nini unichague mimi kuomba Tshs 20,000 wakati hujui hata kipato changu?
Kuna mmoja aliwahi kuniomba elfu 5 PM, nikamkatalia aisee. Maana ni kazi sana kutofautisha mtu mwenye shida ya kweli, na mjinga mmoja anayetaka kudhuru watu wasio na hatia.Huyu kuna watu anawatafuta anatumaini watawasiliana nae! Mwogopeni.
Ni sawa na wale wanaotuma private messages eti "kaka napenda thread zako zinaonyesha wewe mtu makini sana na unachoongea na zinafundisha sana. Una mawazo mazuri naomba tufahamiane zaidi. Naitwa Maimuna, namba yangu hii hapa".
Kuna wahanga walidanganywa kirahisi na hizo private message na picha fake wakaishia Koko beach!
Kuna wengine wanaomba msaada wa pesa kidogo, eti brother nimebanwa sana leo, naomba unirushie angalau Tshs 20,000. Ukimrushia tu unaishia Koko Beach!
Huwa najiuliza, katika watu wote waliomo humu JF, kwa nini unichague mimi kuomba Tshs 20,000 wakati hujui hata kipato changu?
Sintashangaa kuwa wengine wamejipenyeza huku ndani kama moderators, au kwamba baadhi ya moderators wanakuwa recruited kama informers. Natumaini Mexime amechukua tahadhari stahiliKuna mmoja aliwahi kuniomba elfu 5 PM, nikamkatalia aisee. Maana ni kazi sana kutofautisha mtu mwenye shida ya kweli, na mjinga mmoja anayetaka kudhuru watu wasio na hatia.
Uko sahihi sanaHuyu kuna watu anawatafuta anatumaini watawasiliana nae! Mwogopeni.
Ni sawa na wale wanaotuma private messages eti "kaka napenda thread zako zinaonyesha wewe mtu makini sana na unachoongea na zinafundisha sana. Una mawazo mazuri naomba tufahamiane zaidi. Naitwa Maimuna, namba yangu hii hapa".
Kuna wahanga walidanganywa kirahisi na hizo private message na picha fake wakaishia Koko beach!
Kuna wengine wanaomba msaada wa pesa kidogo, eti brother nimebanwa sana leo, naomba unirushie angalau Tshs 20,000. Ukimrushia tu unaishia Koko Beach!
Huwa najiuliza, katika watu wote waliomo humu JF, kwa nini unichague mimi kuomba Tshs 20,000 wakati hujui hata kipato changu?
Imetulia.. Hivi nikiwa na milion 50 sierra kujenga kama hiyo?