Pounds1000
Member
- Aug 1, 2017
- 44
- 37
Hivyo vyombo nao wanahitaji kuwa na maisha mazuriKwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?
Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?
Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?
Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Kwani hujui pesa inayopatikana kwa njia ya kodi ya madini hulipa wafanyakazi wa serekali including wanajeshi wanaokulinda kupitia mipaka na ww wavamizi hawakusumbui especially pale unapotia mabao mkeo usikii hata sauti ya risasi ww unamimina tu mabao kwa raha mustarehe......Mi sijawahi ona faida ya haya madini kwa nchi yetu!!acha waibe tu!!
Wewe hufanyi kwaajili ya Taifa [emoji28][emoji28]?!!..Nani huyo ambae hakua Mwizi wa mali zetu?Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
unaleta uzungu nenda huku ukasapot mashogaNani ana moto wa kuongoza shithole country?
Usihangaike nae huyo, yupo kwa basha wake huko nje. Hajui maumivu yetu.Ndio mnavyoji console eh, mtamkumbuka tu
Acha kuharisha hapa. Taja Mali za magufuli kumi tu, au Mali za watoto wake.Haya wewe una evidence yoyote hata siyo tangible ya kujua 1.5tr zilipoenda?
Acha kukaririshwa nawapiga porojo wa humu na wewe km kasuku unacheza mziki wao.Magufuli aliiba na adabu ya nchi ilikuepo hasa kwa sisi wachimbaji wadogo.
Pakusemea palikuepo kwa sisi wa chini. Saivi varangati tu uku mwenye ela muache atakuua
Dogo nipo full nimejaaNdio, baada ya ww kumaliza ulichokuwa nacho.
a mbona mungu wako hajakuondolea hizo chafu zote bila kumwaga damu?
kwa hiyo ana kuacha uendelee kulia kwanzaHana Papara hizo.
Usihangaike na mtu asiyejitambua.Basi mungu wako ni feki
Kwa nini sasa unasema umerudi kwa kasi kama hata wakati wa Magufuli ulikuwepo?Huyo unayemsema yeye na Kagame ndo zilikuwa dili zao za kimya kimya
Wewe ni mgeni hapa Tanzania?Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?
Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?
Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?
Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Umesema kazificha lakini bado wataka mimi niseme kazificha wapi, are you in sane? Mwizi anaweza hata fukia chini akafa na pesa zikaozea huko. Sema 1.5 tr iko wapi kama wew wajua!Acha kuharisha hapa. Taja Mali za magufuli kumi tu, au Mali za watoto wake.
Ukishindwa tuambie bila kuacha shaka, hizo pesa nyingi hivyo alizificha wapi?
Hujielewi, nazani hata jinsia yako huielewi.Umesema kazificha lakini bado wataka mimi niseme kazificha wapi, are you in sane? Mwizi anaweza hata fukia chini akafa na pesa zikaozea huko. Sema 1.5 tr iko wapi kama wew wajua!
anayepotosha ni yule anayezungumzia asochokijua ama yule anayeshabikia asichokijua.Kama hujui kitu kaa kimya sio kupotosha watu.
Nenda weweLeo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Umemaliza kila kituHuyo Chahali aache wivu na umbeya.
Kwani Samia hajui kuwa madini yanatoroshwa?
Kwani wanaotorosha madini hawajuani na Samia?
Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?