Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

naona kama jasusi kapotea maboya vile... yaani kaingia au kaingizwa chaka! Hatuna hata kiwanda kimoja cha kuchenjua madini korofi kama vile titanium achilia mbali chuma na shaba. Hayo ma ore yalizuiwa kusafirishwa na mwendazake hata wachimbaji wadogo na wakubwa wakafilisika kabisa huku bei ya madini hayo ikianguka kama ilivyokuwa mbaazi. Januari JPM mwenyewe akaruhusu waliokuwa na mizigo wauze au wasafirishe nje ili wajenge uwezo wa kumiliki smelter zao lakini walipie kodi zote husika na mrabaha. Hayo yalianza kufanyika baada ya ruhusa ile lakini wengi bado wamekwama soko na wanunuzi wengi wanaogopa kuwekeza au kununua madini yetu (namaanisha ya viwandani). Sasa unajiuliza hii biashara iliyo wazi inatoroshwaje?
Jasusi namheshimu sana kwa habari nyeti za kijasusi ila hii katulisha tangopori!! Kuna copper huko kusini ilishachimbwa kitambo watu wanalia soko wameduwaa na vifusi vyao au hao watoroshaji hawapajui huko???
 
Inamaan kwenye maaneo nyeti hvyo hamna Afisa kivuli hukoo

Kila mmoja ashinde mechi Zake

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mwendzake alipojenga ukuta kule mererani aliujenga kwa sababu zipi?
 
Huyu Chahali ndiye mtu wa kwanza kutangaza kifo cha bulldozeri
 
Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?
!
 
Kama mnamuita Mbowe tajiri- sawa
 
Dah na wewe kumbe uko ivi
 
Kama hujui kitu kaa kimya sio kupotosha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…