Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #201
Mchunga wa nazi- hupendi ule mchunguππ, uono ndo Nini??Mchunga wa nazi, mlenda, dagaa, uono, ngobe, miwa, mihogo (in all forms), mbaazi mbichi, ngogwe, kabichi etc
Maziwa Yale yenyewe kabisa, yana ka uchachu fulanu hiviππMaziwa mtindi
Mahindi ya kuchemsha
Mihogo ya kuchemsha
Viazi vitamu vya kuchemsha
No malice to nobody ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii kwa kweliiii.
Dahπππ, watuwanapitia msotoooπ€π€Resources are un evenly distributed.. hivi unajua kuwa UPUPU unaliwa?
Yan siachi hadi mwisho, huwa naenjoy sanaMaziwa Yale yenyewe kabisa, yana ka uchachu fulanu hiviππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]No 2 ni must kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri wife ameshanijua kuwa ni ugonjwa wangu! She is very good at it, niliwahi siku moja kumpeleka sehemu wanakaanga muhogo , nikamwambia onja then i want stuff like this !!!.Shida wapishi wakiharibuππ, utalaani balaa
Let her know, she got a fan out here Buddhaπͺπͺ. Hope, maybe nikioa ntapata wa hivyooBahati nzuri wife ameshanijua kuwa ni ugonjwa wangu! She is very good at it, niliwahi siku moja kumpeleka sehemu wanakaanga muhogo , nikamwambia onja then i want stuff like this !!!.
Tangu hapo nainjoi tu nyumbani kuna siku inakuwa menu yangu kabisa sebuleni
Uono ni vidagaa flani vifupi vyeupe vya baharini!!Mchunga wa nazi- hupendi ule mchunguππ, uono ndo Nini??
πππππUgali na mlenda.
Mtori na chapati 1
Ugali na dagaa rosted ukimix na tubamia, kakiazi na vinyanya chungu.
Wali maharage na kachumbari
Kweli msosi ni starehe pendwaπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa Dogo...
Uzipike na Nyama ya Salala,Nundu au Jembe....Ni utajilambaaaa....
We yako ipi??πππππ
πHa ha ha ha ha ha ha
Mimi ugali kwa majani ya maboga yaliyowekwa karanga au unga wa mbegu za maboga au majani ya maharage yaliyowekwa karanga sitaweza acha kula kabisa.
Yes ya maharage, ya kunde yote yanakiwa ila Ili uinjoy weka karanga au NaziMajani ya maharage yanaliwa mkuu?
Ya maboga najua
Nasikia Ina nenepesha balaaπ€π€, Ni kweli??Nguruwe