Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Wewe utakuwa ni Mwanakwetu au umekulia TA.
Nilipita na kukaa pale majani Mapana na Nguvumali. Yaani hadi sasa, nimetoka kula ugali dagaa waliochanganywa na bamia pamoja na nyanya chungu alafu pembeni kulikuwa na kisamvu cha nazi alikipika jana so kimelala. Sasa nimeinua tumbo juu nachat jF. Nasuburi baadaye kidogo saa 2 nipige Pilau nyama yangu then nilale. Bro maisha ndio haya haya. Tunatafuta pesa kwa nguvu sana, wacha tufe tu na pressure na kisukari ila kula vizuri hatuachi ng'ooooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…