Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Shishi food ni Kwa vile ni mnyamwezi. Tabora wana mrenda flani unakaushwa na kusagwa unakuwa unga. Akitaka kupika wa nachemsha maji na kuweka unga (kama majani ya chai) wanakoroga tayari.

Ila kwa Shishi anapika wa bamia. Hiyo kitu ni noma sana na samaki wa kukaanga au nyama choma.
 
Waa
Waafrica nasi tunaiga british breakfast...utakuta kuna baked beans, toast bread, bacon,sausages, mushrooms and fried eggs...lol


Wakati tunaacha misosi yetu chapati mbili na maharage, chapati mbili na mchemsho , mihogo/magimbi/viazi vya kuchemsha na samaki, mtori n.k
 
Huo mlenda wa kusagwa nimewahi kula Dodoma ndani ndani huko. Nilitokea kuupenda hasa baada ya kuona uandaaji wake.

Huo wa kuweka na bamia ni habari nyingine, ni mtamu hasa ukiwekwa na karanga ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ