Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Mixing ya hatari aisee mbona kali hiyo ...
Ningekuwa nalalamika huko kwenye butcher aisee utumbo haupandi kabisa .
 
Mmhh betroot siziwezi.... Ila kabichi napenda lipikwe na nyama
Beetroot inafaa uweke flavour hivi itafaa kidogo au unaweka tunda kama passion ili kuleta ladha .
 
Naona unaendelea kuukonga moyo wangu. Udenda tayari hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Week end hi ntaupika huu.... Ntatafuta na samaki wa kulumangia tuu[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…