Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Mlenda wa unga[emoji57][emoji57][emoji57] siuweziPizza, Burger, Shawarma, beef lasagna, Kaa, mlenda wa unga, Mchunga, Senene.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlenda wa unga[emoji57][emoji57][emoji57] siuweziPizza, Burger, Shawarma, beef lasagna, Kaa, mlenda wa unga, Mchunga, Senene.
Mixing ya hatari aisee mbona kali hiyo ...Ni asilimia karibu 99.99 za wauza mabutcher sijui huko machinjioni hali ipoje... Huwa nawamind wanabaki kuniuliza kwani dada umetokea mkoa gani? Nawaambia mikoa yote niliyopita nyama inauzwa kivyake, na utumbo kivyake hizi mixing ndiyo nimezikuta Arusha kwenu.
Mimi napenda iwe ule wa maboga na uwekewe karanga.... Hivi hivi siweziMimi mtaalamu wa mlenda nawachora tu hapa
[emoji3][emoji3][emoji3]Choroko nilipata shida sana kuzimeza na nilikua ugenini
Mmhh ngurinyii si mafuta??Kuna chakula Cha kimasai kinaitwa ngurinyii , nilionja Siku moja sitasahau kilivyonitia kinyaa
Yeah... Uje sikuDaaaa labda nije unipikie
Ndo kikoje hiko mkuukwa waliofika china kuna meal inaitwa HOT POT, aisee sitarudia tena ile takataka.
Mmhh betroot siziwezi.... Ila kabichi napenda lipikwe na nyamaKabichi na madude fulani hivi yanaitwa beetroot sijui daah sitaki kuyakumbuka.
Beetroot inafaa uweke flavour hivi itafaa kidogo au unaweka tunda kama passion ili kuleta ladha .Mmhh betroot siziwezi.... Ila kabichi napenda lipikwe na nyama
Haaah wewe Basi sio mfugaji.... Hadi na ugaliWe mtu wa pwani nini mkuu
Sisi watu wa bara wafugaji wengi wetu maziwa ndio kiungo tunaweka kwenye kila chakula kasoro ugali
Naona unaendelea kuukonga moyo wangu. Udenda tayari hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi napenda iwe ule wa maboga na uwekewe karanga.... Hivi hivi siwezi
Week end hi ntaupika huu.... Ntatafuta na samaki wa kulumangia tuu[emoji4][emoji4]Naona unaendelea kuukonga moyo wangu. Udenda tayari hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakula kwa macho, usisahau kutupia selfie yakeWeek end hi ntaupika huu.... Ntatafuta na samaki wa kulumangia tuu[emoji4][emoji4]
Weeee kisamvu???Kisamvu...Biringanyaa...Nyanya Chungu...Pilipili hohooo hivi vitu hapana aiseee...!!
[emoji1][emoji1][emoji1]Mara ya kwanza kuona mlenda nilidhani ni Gundi ya maji.
Kabich siwezi hata zipikwe vipi wala sijui kwa nini yaani.Mmhh betroot siziwezi.... Ila kabichi napenda lipikwe na nyama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakulaga nini wakishua???? Pizza burger nini...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duhMara ya kwanza kuona mlenda nilidhani ni Gundi ya maji.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tikiti maji limenishinda. Hata harufu yake siwezi kuvumilia.