Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Hahahahahahahahhahahahahaha nimecheka saaaaaana.
Kweli nakuapia hata mimi nashangaa na siwezi kula.

Njugumawe inapikwa na nazi, sukari chumvi kiduchu mixer viungo hiriki ablasibi n. K.

Futari yake ni balaa.
Haloooo tamu mno.
L
 
Njugumawe si mboga.
Watu wa bara wana visa.
Mimi mwenyewe nikikuta umepika mboga sili.
Njugu ni mbogq kabisa..

Sema zisiwe na kale kakiini na ganda.. hivyo viwili ndivyo vyenye harufu. Ukivitoa .. inakuwa kitu safi mno.. zaidi hata ya dengu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Njugumawe si mboga.
Watu wa bara wana visa.
Mimi mwenyewe nikikuta umepika mboga sili.
Sasa tunapishana mimi njugu mawe nazipenda hasa pale zinapoungwa na nazi aisee ule na wali
 
Ni vingi sikumbuki jina ila kwa Sasa siku zinavyozid kwenda mlenda umeanza kunishinda si pe ndi
 
Chumvini
Sina tena hamu nako
 
Hii hata Mimi ilinikuta
Siji rudia tena kununua hii kitu maana ni mbaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…