amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Balaa mno.Huo mseto si mchezo, ngoja nikija oa nitamwambia waifu afanye hivo
Tamu mno aiseee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa mno.Huo mseto si mchezo, ngoja nikija oa nitamwambia waifu afanye hivo
Hahahahahahahahhahahahahaha nimecheka saaaaaana.Njugumawe si mboga.
Watu wa bara wana visa.
Mimi mwenyewe nikikuta umepika mboga sili.
Kweli nakuapia hata mimi nashangaa na siwezi kula.Hahahahahahahahhahahahahaha nimecheka saaaaaana.
Njugu ni mbogq kabisa..Njugumawe si mboga.
Watu wa bara wana visa.
Mimi mwenyewe nikikuta umepika mboga sili.
Mbaazi [emoji39]Supu ya Kongoro,Samaki aina zote siwez kula ...bila kusahau njugu na mbaazi [emoji3064]
Sasa tunapishana mimi njugu mawe nazipenda hasa pale zinapoungwa na nazi aisee ule na waliNjugumawe si mboga.
Watu wa bara wana visa.
Mimi mwenyewe nikikuta umepika mboga sili.
ChumviniMambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini chakula hicho kina kushinda kabisa hata kukupelekea kujisikia vibaya.
Mimi miaka ya nyuma nilikuwa nasikiaga kuhusu supu ya kongoro siku na mimi nikaamua nijue ikovipi hiyo supu nikaenda sehemu nzuri tu nikaulizia nikaambiwa ipo basi nikaletewa pale nikaanza kuipiga lakini kidogo tu nilikula kama vipande viwili tu vya ile nyama nikajisikia kuchefuchefu vibaya sana hata hiyo nyama kumeza haimezeki nikaacha supu karibia yote pale hadi leo hii sitaki tena kusikia kuhusu hiyo supu
Nyingine hii ilikuwa ni juisi ile ya rozela nilikuta imetengenezwa sehemu nikanywa glasi moja ilikuwa na ladha nzuri tu lakini baada ya hapo nilijisikia vibaya sana kama kizunguzungu mara kama mwili unataka ku vibrate mara jasho linatoka japo kulikuwa na feni yaani ilikuwa ni shida mpaka leo nikiiona hiyo juisi naipitia mbali kabisa. Hata juisi ya miwa ilinishinda kabisa ni bora nile muwa kama muwa
Vipi kwa upande wenu wadau ni kitu gani ulikula lakini baada ya hapo hutaki tena kukila.
Hawa kuku nilikuwa nawasikia tu, siku hiyo nimewaonja nilijuta. Bora nile wale wa vibanda vya chips, Wana ladha.Siwezi kula takataka fulani za kuku waliozidishwa chumvi zinaitwa KFC.
Usisahau ile kitu ya kiarabu inaitwa bokoboko mkuu unaweza kuzimia.
Huo mseto si mchezo, ngoja nikija oa nitamwambia waifu afanye hivo
Hahaha mke wa mtu huyo kamanda
Hii hata Mimi ilinikuta3.KONGORO
natamanigi sana nikiona mtu anakula kongoro anahangaika na bomba lile,huku akpga kijiko cha supu,nahisi anakula kitu kitamu sana,siku moja isiyo na jina namimi nikaitsha kongoro,wapendwa hamna siku hela yangu iliniuma kiasi kwamba nikatamani kulia kama ile siku,maana ki ukweli lile kongoro ile nimeweka mdomoni tu nilirudsha chenchi,ikabd nisingizie naumwa,nikatoka eneo lile nikabadlisha kiwanja nikarudi kwenye supu zetu za ng'ombe.
Njugu siji rudia tena kulaNjugu mawe, kunde na mlenda hivi hapana