Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Soup ya Sangara,
Mishkaki ya Pweza, natapika hapo hapo
 
Aiseh kumbi kumbi ni watam sana,, tena kumbi kumbi na ubwabwa vinafaana sana..
Hakna chakulà spendi Kama ile wanaita KUMBI KUMBI, nilikula kwa Mara ya kwanza ukubwan kabisa, tumbo liliniuma Sana , nikajaribu siku nyingine mwendo ule ule Tumbooo[emoji45]
 
Kitu Mimi nimewai kula na sintarudia kula tena ni maziwa ya nyoyo ya mama yangu vingine ispokua sumu napiga,mm mtoto wa mkulima naacha nn aisee ata kima alie kua anakula mahindi ya mshua nishamla sana now kingwangwala anazingua ila nimemmiss kinyamaa!!
 
Mishkaki ya nundu!!
Jmn mbona mnakula mafuta namna ile
I felt like nakunywa Korie moja kwa moja
Nilishindwa kwa kweli na siwezi rudia
 
Mlonge nikinywa aisee naugua hapo hapo, kizunguzungu na mwili kukosa nguvu, nimejaribu mara kwa mara lakini hali ni hiyo hiyo nikunywa mlonge ni balaa, pia makongoro yalinishinda
Hivi mlonge una Nini hata Mimi nakuwa hivyo?
 
Loshoro
Kisamvu

Pweza najikaza tu kwakuwa ndo vile tena kama kawaida kwamba ukitaka kupata wakike wengi tangaza bidhaa ya kuongeza uzuri (urembo) na ukitaka kupata wakiume wengi tangaza bidhaa ya kuchaji betri
 
Kitu ukiwa hukijui bana...
Hakuna kitu nilikipendaga kama blue band lakini hakuna kitu sipendi wala sitaki kuona mtu akila kama blue band pia
 
Back
Top Bottom