Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Maziwa fresh huwa nahis roho inaagana na mwil
ulivyokua mtoto ulisumbua sana kunyonya inaonekana wewe [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maziwa fresh huwa nahis roho inaagana na mwil
Kwa muislam fresh tu mbona!Usisahau ile kitu ya kiarabu inaitwa bokoboko mkuu unaweza kuzimia.
Pilau.chips.kuku.samaki.baga.piza.biriani.ndizi.cake.chocolate.icecream[emoji26] mdomo wangu unapenda vitu asili[emoji14]
Parachichi kuweka juu ya wali kula Kama mboga, au mlenda kula na wali, au kuchanganya mboga kwenye bakuli moja, mf dagaa, maharage, tembele pamoja alafu kula bila kutofautisha, nimeshindwa hii vitu.
Njugu mawe ~ nilijiskia kutapika balaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Mlenda ~ Haupiti tena kinywani nahisi nakula udenda wa Ng’ombe
Mkuu si hata ushuani, bora maharage napenda ila choroko mmhWe utakuwa wa ushuani
Kwa Sisi tuliokulia maisha ya kula chakula kimoja tena katikati ya mchana na usiku,hizo mboga zinapishana siku moja moja,tena mboga km choroko au maharage tunakula usiku kisha inabaki nyingine ya kulia ugali kesho mchana [emoji3][emoji3]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kitu kitamu sana hikiSupu ya Kongolo
Urojo
Nilikunywa supu ya pweza 2012 ila ghafla kichwa kikaanza kuuma, mwili unaisha nguvu, tumbo linaunguruma, jasho linanitoka na kuanza kutapika,
Mpaka leo nikimuona pweza napita kushoto.
Nilikoma kufuata mkumbo,nilivyoanza kunywa tu niliota vipele mwili mzima Kama nimetambaliwa na duduwasha hapo mwili unawasha sio poa,,sitaki hata kumuona huyo mduduSupu ya pweza nilitia kijiko ki1 tuu mdomoni hali iliyonipata hd leo nikiona sehem inapikwa napita mbali kbs....
Hapana ila nilipopata uwezo wa kutambua vyakula mmm maziwa hayakuwa rafiki kwanguulivyokua mtoto ulisumbua sana kunyonya inaonekana wewe [emoji2]
Mkuu Karibu hapata supu ya utumbo😀😀😀Mtu yuko serious kbsa anakutuma buchani ukamnunulie utumbo wa ng'ombe
halafu anakwambia eti "huu nikiunga na nazi,utajilamba nakwambia" yaniiii
huo utumbo hata ukatie humo noti za elf kumi kumi upike siliii ng'o,hata harufu staki iskia...
Cabbage [emoji3055] sitaki hata kuiona aisee nachukia hata harufi yake!,ila cha kushangaza nilivyokuwa Mtoto nilikuwa naipenda sana
Mkuu Pole sanaMtu yuko serious kbsa anakutuma buchani ukamnunulie utumbo wa ng'ombe
halafu anakwambia eti "huu nikiunga na nazi,utajilamba nakwambia" yaniiii
huo utumbo hata ukatie humo noti za elf kumi kumi upike siliii ng'o,hata harufu staki iskia...