Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Parachichi kuweka juu ya wali kula Kama mboga, au mlenda kula na wali, au kuchanganya mboga kwenye bakuli moja, mf dagaa, maharage, tembele pamoja alafu kula bila kutofautisha, nimeshindwa hii vitu.

mlenda na wali? [emoji47][emoji47]
 
We utakuwa wa ushuani

Kwa Sisi tuliokulia maisha ya kula chakula kimoja tena katikati ya mchana na usiku,hizo mboga zinapishana siku moja moja,tena mboga km choroko au maharage tunakula usiku kisha inabaki nyingine ya kulia ugali kesho mchana [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu si hata ushuani, bora maharage napenda ila choroko mmh
 
Nilikunywa supu ya pweza 2012 ila ghafla kichwa kikaanza kuuma, mwili unaisha nguvu, tumbo linaunguruma, jasho linanitoka na kuanza kutapika,

Mpaka leo nikimuona pweza napita kushoto.
Supu ya pweza nilitia kijiko ki1 tuu mdomoni hali iliyonipata hd leo nikiona sehem inapikwa napita mbali kbs....
Nilikoma kufuata mkumbo,nilivyoanza kunywa tu niliota vipele mwili mzima Kama nimetambaliwa na duduwasha hapo mwili unawasha sio poa,,sitaki hata kumuona huyo mdudu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sijui kama kuna kitu nitaletewa nishindwe kula nshapiga kenge kuanzia mchemsho rost na choma. Nshakula kasa dolfin (pomboo) mkunga nungunungu karunguyeye mchagua jembe si mkulima

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
1. Ugali wa muhogo na udaga
2. Kisamvu
3. Kambale
4. Ngisi
5. Na vinginevyo ambavyo sijawahi kula kama nyoka na kadhalika
 
Mtu yuko serious kbsa anakutuma buchani ukamnunulie utumbo wa ng'ombe

halafu anakwambia eti "huu nikiunga na nazi,utajilamba nakwambia" yaniiii

huo utumbo hata ukatie humo noti za elf kumi kumi upike siliii ng'o,hata harufu staki iskia...
Mkuu Karibu hapata supu ya utumbo😀😀😀
 
Never forget 2013 ........... coet cafeteria chakula inaitwa muamala siji rudia shenz type nimetapika tena shindwa in Jesus Name
 
Mtu yuko serious kbsa anakutuma buchani ukamnunulie utumbo wa ng'ombe

halafu anakwambia eti "huu nikiunga na nazi,utajilamba nakwambia" yaniiii

huo utumbo hata ukatie humo noti za elf kumi kumi upike siliii ng'o,hata harufu staki iskia...
Mkuu Pole sana
download (3).jpg
 
Back
Top Bottom