Kingoni sio!??Mangatungu.
Yess!! Kunyumba.Kingoni sio!??
Jifunze kupika mboga ...watoto kuchukia ugali sababu kuu ni mboga zako mbovu . Yani unakuta mtu na akili zake kabisa anapika ugali na maharage 🙄🙄👉💩 kwani unawafanyisha mazoezi ya kuishi Jela.Ugali.
Sasa kiswahili ni niniYess!! Kunyumba.
Hata wasipoupenda hauna faida yiyote zaidi ya kujaza tumbo. Kwanza ni tasteless.Ugali.
Kwanini uwalazimishe kunywa chai na viazi? Hakuna mikate,chapati,nayai,sausage,bacon ?Viazi vitamu....yaani hawa watoto hawapendi viazi vitamu hata kwakunywea chai...wao mkate na maandazi stupid
Aiseeeh!Jifunze kupika mboga ...watoto kuchukia ugali sababu kuu ni mboga zako mbovu . Yani unakuta mtu na akili zake kabisa anapika ugali na maharage 🙄🙄👉💩 kwani unawafanyisha mazoezi ya kuishi Jela.
Au sio!Hata wasipoupenda hauna faida yiyote zaidi ya kujaza tumbo. Kwanza ni tasteless.
Jf hawayajui hayo🤣Mangatungu.
wanangu hawapendi mboga za majani kabisa...pakipikwa mboga za majani wananuna balaa! na mama yao pia hapendi!Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea
Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.