MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Daah kumbe ni sumu? Nilikuwa naona wanapika na kuuza,hii hatari.Mangatungu ni matamu hatariii, ila ukikosea kuyapika bas ni kifo, maana ni sumu ile
Daah kumbe ni sumu? Nilikuwa naona wanapika na kuuza,hii hatari.Mangatungu ni matamu hatariii, ila ukikosea kuyapika bas ni kifo, maana ni sumu ile
Nina masters ya madhara ya matumizi ya kupenda ugali kwa muda mrefuAnkali wanajifanya wanajua sana biolojia 🤣🤣
Ugali ni chakula cha hovyo sanaWali unapikwa na nazi au mafuta. Afadhali kidogo unapata mafuta,chumvi na ladha sasa unga na maji kuna nini hapo? Unajaza tumbo tu. Mbaya zaidi ugali ni tasteless.
Hiyo ndiyo Sheria yangu kwangu...nabana matumiziKwanini uwalazimishe kunywa chai na viazi? Hakuna mikate,chapati,nayai,sausage,bacon ?
Wakaangie badala ya kuchemsha.Viazi vitamu....yaani hawa watoto hawapendi viazi vitamu hata kwakunywea chai...wao mkate na maandazi stupid
Thomu ndiyo nini mkuuWakaangie badala ya kuchemsha.
Tena viunge na thomu, tangawizi kdg, chumvi na pilipili manga au pilipili washa kdg. Unaviacha kama lisaa hivi then unakaanga kwa moto kiasi visiwe kwayukwayu sana.
Chakula wakati mwengine na upishi, ukikinogesha mbona kinakuwa kitamu tu na