Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

Mahindi na mchele na ngano ni sawa tu neno ugali lisikuchsngsnye ...ukisaga mchele na kuwa unga unaweza kusonga ugali wa mchele pia ndiyo maana kuna ugali wa muhogo ugali wa ndizi nk ..hivyo ugali wa mahindi na wali na ngano ni sawa kifaida..kumbuka vingine vinategemea mboga ...tumia akili
Wali unapikwa na nazi au mafuta. Afadhali kidogo unapata mafuta,chumvi na ladha sasa unga na maji kuna nini hapo? Unajaza tumbo tu. Mbaya zaidi ugali ni tasteless.
 
Wali unapikwa na nazi au mafuta. Afadhali kidogo unapata mafuta,chumvi na ladha sasa unga na maji kuna nini hapo? Unajaza tumbo tu. Mbaya zaidi ugali ni tasteless.
Mboga unazolia ugali hazina mafuta 🙄 ..mfano mtu akila ugali na kitimoto mafuta hayapo ...pia wewe ukusoma shule ? Umeuliza swali la ajabu sana kuwa ugali hauna mafuta au hauna chochote ...virutubisho vingi tu vipo nfani ya ugali ...rudi shule kasome ...pia ugali wapo watu wana songa na kutia maziwa kama uji unavyo tengenezwa nk
 
Hata wasipoupenda hauna faida yiyote zaidi ya kujaza tumbo. Kwanza ni tasteless.
Unakosea mzee wangu. Ugali una faida ila ni kwamba unaweza kupata hivyo virutubisho kwingine. Na una ladha pia(dona).
 
Una nyota ya kuishi Jela ...ugali ni lazima uliwe na mboga zaidi ya moja yaani mboga kama 3 ..kula ugali na mboga moja ni kosa kubwa sana ...maharage na ugali ni kutafuta kiungulia kooni tu
Sie tuliosoma enzi hizo, Tulizoea shule mchana ni ugali na maharage na usiku ubeche na Nyama! Wa Siku Hizi Hongera sana
 
Sie tuliosoma enzi hizo, Tulizoea shule mchana ni ugali na maharage na usiku ubeche na Nyama! Wa Siku Hizi Hongera sana
Shule gani hii Beche Na nyama!?? Niliposoma mimi siku ya Mchele unaoga mapema sana afu siku nzima unakuwa na furaha tu
 
Kama watoto wenu hawapend ugali Sasa mnawapaga nin??

Mtoto mleavyo ndivo akuavyo yaan mtoto hawez nipangia et yeye Hali hichi sijui anataka kile aiiii wewwewe kama sio sumu wapen watoto wale watawaibisha ugenin haya mnaleta uzungu kwenye maisha ya mwafrika
 
hili nalo litizamwe
 
Mimi zaidi ya shule ambapo vyakula ni common home sikupenda Bamia, NyanyaChungu, ugali hasa usiku makande, Tamb majani ya mabogai ila baada ya kukaa kwenye miji ya watu na kujitegemea sahivi nakula kila kitu kasoro SUMU tu
Umekosa mambo mazuri mkuu. Dagaa, bamia, nyanya chungu halafu pembeni kuna ugali wa dona. Hiyo combination ni balaa.
 
Back
Top Bottom