Hata mimi wa kwangu hapendi ndizi za kupika, hata uweke nyama vipi hapendi, ila mzuri za kukaanga aah hana shida.Ndizi,, mwanangu mmoja hapendi kabisa nimelazimisha nimechoka!!!! Samaki anakula fresh tu ukikaanga hataki anakwambia samaki Kawa mchafu hali.
Yani watoto na machaguo Yao sijui huwa wanawaza Nini!!!Hata mimi wa kwangu hapendi ndizi za kupika, hata uweke nyama vipi hapendi, ila mzuri za kukaanga aah hana shida.
Mahindi na mchele na ngano ni sawa tu neno ugali lisikuchsngsnye ...ukisaga mchele na kuwa unga unaweza kusonga ugali wa mchele pia ndiyo maana kuna ugali wa muhogo ugali wa ndizi nk ..hivyo ugali wa mahindi na wali na ngano ni sawa kifaida..kumbuka vingine vinategemea mboga ...tumia akiliHata wasipoupenda hauna faida yiyote zaidi ya kujaza tumbo. Kwanza ni tasteless.
Hata wewe kuna vyakula hupendelei sema utu uzima dawa😅😅Yani watoto na machaguo Yao sijui huwa wanawaza Nini!!!
Upupu. 😂😂😂😂Sasa kiswahili ni nini
Wanajua kwa jina "upupu"Jf hawayajui hayo🤣
😂😂😂😂😂Nyuzi kama hzi wapiga nyeto wanaangalizia mbali kama Victor Mhagama anavyoangalia matokeo ya uchaguzi Peramiho
Chai ya Tangawizi .... Walikuwa hawapendi wanaona ina pilipili ila kwasasa washazoea.Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea
Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
Yaani hivyo vyakula ulivyovitaja Bamia ,Nyanya Chungu(Zile Chungu) lazima nile daily ,ugali na kande napenda ila one time kwa wiki ,wali 2 times per week.Mimi zaidi ya shule ambapo vyakula ni common home sikupenda Bamia, NyanyaChungu, ugali hasa usiku makande, Tamb majani ya mabogai ila baada ya kukaa kwenye miji ya watu na kujitegemea sahivi nakula kila kitu kasoro SUMU tu
Mbona ni mtamu sana wakuu au ni kwangu tu?Jifunze kupika mboga ...watoto kuchukia ugali sababu kuu ni mboga zako mbovu . Yani unakuta mtu na akili zake kabisa anapika ugali na maharage 🙄🙄👉💩 kwani unawafanyisha mazoezi ya kuishi Jela.
Mimi nikila ugali, lazima Mboga iwe maharage. Wali ndiyo na Nyama. Wali na maharage au ugali na Nyama Naona tabu tupuJifunze kupika mboga ...watoto kuchukia ugali sababu kuu ni mboga zako mbovu . Yani unakuta mtu na akili zake kabisa anapika ugali na maharage 🙄🙄👉💩 kwani unawafanyisha mazoezi ya kuishi Jela.
Ugali ni mtamu kutegemea mboga na mapishi .Mbona ni mtamu sana wakuu au ni kwangu tu?
Eeeh,nimekula zamani sana tokea 2004 marehemu baba alikuwa anaupenda,Sasa mama hapendi.Wanajua kwa jina "upupu"
😂😂😂😂😂
Una nyota ya kuishi Jela ...ugali ni lazima uliwe na mboga zaidi ya moja yaani mboga kama 3 ..kula ugali na mboga moja ni kosa kubwa sana ...maharage na ugali ni kutafuta kiungulia kooni tuMimi nikila ugali, lazima Mboga iwe maharage. Wali ndiyo na Nyama. Wali na maharage au ugali na Nyama Naona tabu tupu