Wali unapikwa na nazi au mafuta. Afadhali kidogo unapata mafuta,chumvi na ladha sasa unga na maji kuna nini hapo? Unajaza tumbo tu. Mbaya zaidi ugali ni tasteless.Mahindi na mchele na ngano ni sawa tu neno ugali lisikuchsngsnye ...ukisaga mchele na kuwa unga unaweza kusonga ugali wa mchele pia ndiyo maana kuna ugali wa muhogo ugali wa ndizi nk ..hivyo ugali wa mahindi na wali na ngano ni sawa kifaida..kumbuka vingine vinategemea mboga ...tumia akili
Mboga unazolia ugali hazina mafuta 🙄 ..mfano mtu akila ugali na kitimoto mafuta hayapo ...pia wewe ukusoma shule ? Umeuliza swali la ajabu sana kuwa ugali hauna mafuta au hauna chochote ...virutubisho vingi tu vipo nfani ya ugali ...rudi shule kasome ...pia ugali wapo watu wana songa na kutia maziwa kama uji unavyo tengenezwa nkWali unapikwa na nazi au mafuta. Afadhali kidogo unapata mafuta,chumvi na ladha sasa unga na maji kuna nini hapo? Unajaza tumbo tu. Mbaya zaidi ugali ni tasteless.
Unakosea mzee wangu. Ugali una faida ila ni kwamba unaweza kupata hivyo virutubisho kwingine. Na una ladha pia(dona).Hata wasipoupenda hauna faida yiyote zaidi ya kujaza tumbo. Kwanza ni tasteless.
Sie tuliosoma enzi hizo, Tulizoea shule mchana ni ugali na maharage na usiku ubeche na Nyama! Wa Siku Hizi Hongera sanaUna nyota ya kuishi Jela ...ugali ni lazima uliwe na mboga zaidi ya moja yaani mboga kama 3 ..kula ugali na mboga moja ni kosa kubwa sana ...maharage na ugali ni kutafuta kiungulia kooni tu
AiseeehUpupu. 😂😂😂😂
Ndio vyakula vyetu hivi kakaYaani hivyo vyakula ulivyovitaja Bamia ,Nyanya Chungu(Zile Chungu) lazima nile daily ,ugali na kande napenda ila one time kwa wiki ,wali 2 times per week.
Unamtafutia ankali shida ya dipresheniUgali.
Shule gani hii Beche Na nyama!?? Niliposoma mimi siku ya Mchele unaoga mapema sana afu siku nzima unakuwa na furaha tuSie tuliosoma enzi hizo, Tulizoea shule mchana ni ugali na maharage na usiku ubeche na Nyama! Wa Siku Hizi Hongera sana
Matunda ganiMfano. Bamia na baadhi ya matunda
Ankali wanajifanya wanajua sana biolojia 🤣🤣Unamtafutia ankali shida ya dipresheni
hili nalo litizamweKama watoto wenu hawapend ugali Sasa mnawapaga nin??
Mtoto mleavyo ndivo akuavyo yaan mtoto hawez nipangia et yeye Hali hichi sijui anataka kile aiiii wewwewe kama sio sumu wapen watoto wale watawaibisha ugenin haya mnaleta uzungu kwenye maisha ya mwafrika
Old moshi enzi hujazaliwaShule gani hii Beche Na nyama!?? Niliposoma mimi siku ya Mchele unaoga mapema sana afu siku nzima unakuwa na furaha tu
Ndo maana akeAiseeeh
Mangatungu ni matamu hatariii, ila ukikosea kuyapika bas ni kifo, maana ni sumu ileEeeh,nimekula zamani sana tokea 2004 marehemu baba alikuwa anaupenda,Sasa mama hapendi.
Shikamoo mshuaOld moshi enzi hujazaliwa
Marahaba mkuu (ki JF)Shikamoo mshua
Umekosa mambo mazuri mkuu. Dagaa, bamia, nyanya chungu halafu pembeni kuna ugali wa dona. Hiyo combination ni balaa.Mimi zaidi ya shule ambapo vyakula ni common home sikupenda Bamia, NyanyaChungu, ugali hasa usiku makande, Tamb majani ya mabogai ila baada ya kukaa kwenye miji ya watu na kujitegemea sahivi nakula kila kitu kasoro SUMU tu