Kitimoto ni tofauti na nyama ya kawaida. Kwanza inaliwa mara moja moja sana, and most of people waana prefer kuila yenyewe na side dishes kidogo. Pia inamafuta mengi. Ukipima kilo moja ya kitomoto ukaipika itakayofika mezani ni robotatu kama siyo nusu, grames zingine zitapotea kama mafuta. So kusema mmekula kilo 2 sioni taabu hiyo technically ni kama kilo moja kwa upimaji wa Dar. Ukienda mkoani huko Mtwara, Naliendele ni kama kilo moja na nusu.
Ni vigumu sana kula kilo mbili ya ng'ombe mkamaaliza kwa watu wawili n watoto wanne coz nyama ya ng'ombe haina mafuta so kilo mbili ni kilo mbili kweli. Jamaa kuna haja ya kuboresha kwenye budgeting.