Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Hiyo Michele ni wingi wa Mchele? Kazi ipo? Dar ni hatari sana! Wakati kwetu unapata mpaka ya elfu 6 kwa kilo!
 
Watu wawili
nyama kilo?mchele kg 2!!!
2kgs watu wa 4..baba mama na watoto wawil kwa mchele bado ni kipimo kikubwa sanaaa😂😂😂.
Ia kwa nyama ni kipimo kidogo sanaa.

Maana juzi mimi Na wife tuu tumekula kilo 2.5 ya nyama kitimoto (tena nguriwe pori) .Sasa kg 1 ya nyama hata sio ishu kwa familia hiyo ya wa tu wa 4 ni kiasi kidogo sana mnakula kwa kujilamba lamba tu bora mrad mpate shombo ya nyama
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Ila na wewe liongo! Watu wanne mnakulaje kilo 2 za Michele? Mafuta na viungo elfu5?
 
2kgs watu wa 4..baba mama na watoto wawil kwa mchele bado ni kipimo kikubwa sanaaa😂😂😂.
Ia kwa nyama ni kipimo kidogo sanaa.

Maana juzi mimi Na wife tuu tumekula kilo 2.5 ya nyama kitimoto (tena nguriwe pori) .Sasa kg 1 ya nyama hata sio ishu kwa familia hiyo ya wa tu wa 4 ni kiasi kidogo sana mnakula kwa kujilamba lamba tu bora mrad mpate shombo ya nyama
Kitimoto ni tofauti na nyama ya kawaida. Kwanza inaliwa mara moja moja sana, and most of people waana prefer kuila yenyewe na side dishes kidogo. Pia inamafuta mengi. Ukipima kilo moja ya kitomoto ukaipika itakayofika mezani ni robotatu kama siyo nusu, grames zingine zitapotea kama mafuta. So kusema mmekula kilo 2 sioni taabu hiyo technically ni kama kilo moja kwa upimaji wa Dar. Ukienda mkoani huko Mtwara, Naliendele ni kama kilo moja na nusu.
Ni vigumu sana kula kilo mbili ya ng'ombe mkamaaliza kwa watu wawili n watoto wanne coz nyama ya ng'ombe haina mafuta so kilo mbili ni kilo mbili kweli. Jamaa kuna haja ya kuboresha kwenye budgeting.
 
You are right. Mimi niko mkoa wa pwan. Nje ya Dar huku tulipo tunakula sana nguruwe pori. Hawa hawana mafuta kabisaa huwez wafananisha na hawa wa kufugwa
 
Achana na familia ya mke na mume.

Yeye mwenyewe tu aje atueleweshe huo mchanganuo wa pesa hiyo kwa asubuhi mpaka jioni.
Amini kuna watu wanaishi hivyo.

Dagaa 500
Nyanya + kitunguu+ Mafuta 500
Unga 1kg 1,000.....hapa ananunua maindi anasaga.

Hio 1000 imebaki mkaa na vitu vingine.
HIO NI RATIBA YA MILO MIWILI KUNA WATU WANAMAISHA HAYO.

KUNA WATU WANAPIKA MICHEMBE NA CHAI HIO NI ASUBUI MPKA USIKU.
Michembe ya 2000 ni kama wanakukomoa
Hio buku ilobaki maji mengi.Note moto ni kuni.

kuna mtu anatumia 15k per day kwenye familia ya watu 16 😁...Yani kweny hii dunia ni wew ndo huwezi
 
2kgs watu wa 4..baba mama na watoto wawil kwa mchele bado ni kipimo kikubwa sanaaa😂😂😂.
Ia kwa nyama ni kipimo kidogo sanaa.

Maana juzi mimi Na wife tuu tumekula kilo 2.5 ya nyama kitimoto (tena nguriwe pori) .Sasa kg 1 ya nyama hata sio ishu kwa familia hiyo ya wa tu wa 4 ni kiasi kidogo sana mnakula kwa kujilamba lamba tu bora mrad mpate shombo ya nyama
Basi tuseme mnapenda nyama..na familia ya ndugu yetu hii ina uwezo kula na kusaza
 
Back
Top Bottom