ndio hapo sasa!!!kuna muda unasikia"bwana yesu asifiwe"Kwani aliwafanyaje hata miezi miwili hakuwa amefikisha, mob psychology.
kabisa aliyewanunulia soda ndo katengeneza hiyo tamthilia ukiwafuata mmoja mmoja hata hawamjui
Historia ya mtu ubeba mwisho wake.Kwani aliwafanyaje hata miezi miwili hakuwa amefikisha, simply mob psychology.
.Hii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk....
Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general...
View attachment 1815518
Solidarity na wenzao wa MbeyaKwani aliwafanyaje hata miezi miwili hakuwa amefikisha, simply mob psychology.
Uongo hao ni wanachadema wa Mbeya walishangilia alipohamishwa. Mwanza hatuna ujinga huo!Hii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk....
Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general...
View attachment 1815518
Watakuwa wat.henge tu haoKwani aliwafanyaje hata miezi miwili hakuwa amefikisha, simply mob psychology.
Tena wa Mbeya sokoni walishangilia wakati amehamishwa.Write your reply...hao ni wavuta bangi wa CHADEMA
Naona majambazi yaliyosalia ya shetani pombe yanaliwa kichwa mmoja baada ya mwingineTena wa Mbeya sokoni walishangilia wakati amehamishwa.
Chakushangaza hata hao nyumbu hawafaidi chochote zaidi wanaendelea kupata taabu tu kama mwanzo!Naona majambazi yaliyosalia ya shetani pombe yanaliwa kichwa mmoja baada ya mwingine
Unategemea nyumbu wawe na constructive criticism? Aliyewapa jina la nyumbu alifikiria sana.Kama Taifa tumefika sehemu mbaya, tunashangilia vifo, watu kutumbuliwa, wakipata magonjwa, matatizo.
Utu, ubinadamu,ujirani, kusameheana vimepotea kwenye jamii. Kilichobaki ni chuki, wivu, kuombea wengine matatizo, matusi, dhihaka, kejeli, kutafuta umaarufu mitandaoni kwa gharama yoyote ile.
Mitandao tungeweza kuitumia vizuri, kukosoa kwa staha (constructive criticism) networking, business deal, advertising our product, kuwakutanishi wateja na wauzaji, kushirikiana.
Kama ni CHADEMA, duuh basi ni wengi hatari sana hawa. CCM Hanna chenu huko..!!Uongo hao ni wanachadema wa Mbeya walishangilia alipohamishwa. Mwanza hatuna ujinga huo!