Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

KUNA MABANGO YA AINA TATU, PAMOJA NA YALE YA KAKA CHALAMILA.

Na: Philipo Mwakibinga...
We jamaa ni mpumbavu Sana
Unajitoa ufaham
Hivi ulimaliza chuo kwanza? Maana ulijifanya mwanaharakati uchwara pake udom.
Ungepotezwa wewe shukuru yule jamaa yako yupo ubelgiji alikutetea

Tungekupoteza mazima mjinga wewe

Unaleta siasa chuon?? Ulikua unyooshwe

Tumekuona kipind cha mwenda zake umepiga kelele radio akuone lakin hakukuo na akupe teuzi Sasa umekuja kivingine

Huku ndiyo usahau kabsaa nyie Mataga lazima tuwanyooshe

Chama kimerudi kwetu sisi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu wampeleke Mirembe
Msiba wa kujitakia mwache aende anaonekana alimpenda sana Magufuli sasa akapata nafasi ya kuongea anayoyajua moyoni mwake.

Problem yake alikuwa anatafuta wa kumuunga mkono na alijua watu wa mwanza watakubaliana na ujinga wake.

Mdomo umeponza kichwa. Akaendelee kulewa si anapenda pombe. Bloodyfool
 
Alipokuwa Mbeya akasema,"waganga wa jadi wamfufue mtu,ndio nitawàmini"
Nikasema hiyo ni provocation. Na kweli ilikuwa provocation. Ikatokea spate ( mfululizo) ya mauaji ya kishirikina mpaka polisi walipofanikiwa kurudisha tena stability.
 
Inawezakana jamaa kaamua kuharibu makusudi
Kufokewa na mwanamke kiukweli wanyakyusa na wahehe sio jadi yao kabisa ni aheri ufe maskini kabisa
 
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa
Niende moja kwa moja kwenye maada
..kwa mtazamo wangu nahisi huyu bwana rc chalamila kafanya makusudi kutangaza habari ya mabango ili rais amtengue .
Kuna makabila ya wanyakukyusa na wahehe kufokewa ma mwanamke yeyete ni dharau kubwa sana hata nyumbani kwako huwezi heshimika kabisa nahisi akaona atafite sababu ya kuondokea tu
 
Weeeeeeee dharau ni huko kijijiji kwenye Pombe na wake.

Mtu uwe RC af eti useme huwezi kuongozwa na mwanamke? eti dharau? uache ugali wa watoto kisa boss ni mwanamke?

Yule jamaa huwa ana masihara sana pia aliongea hakumaanisha watu waje na matusi bali waje na hoja zozote ili wampe changamoto kwenye utendaji wa kazi.

Kama Mh. Rais amemtengua kwa kauli hii amefanya makosa sana. Ila kama hakuridhishwa na utendaji wake wa kazi its OK of which am comfortable with, hata mm sipendi namna anavyofanya kazi, hayo mambo yake ya uropokaji apeleke CCM ambako jiwe ndio alimuibua toka mavumbni na kuanza kuketi na wakuu
 
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa
Niende moja kwa moja kwenye maada
..kwa mtazamo wangu nahisi huyu bwana rc chalamila kafanya makusudi kutangaza habari ya mabango ili rais amtengue .
Kuna makabila ya wanyakukyusa na wahehe kufokewa ma mwanamke yeyete ni dharau kubwa sana hata nyumbani kwako huwezi heshimika kabisa nahisi akaona atafite sababu ya kuondokea tu
Kwani Chalamila alifanyaje?
 
Huyu jamaa kutochukulia mambo siriazi ndio kumemponza, Wakati yeye akili yake ikimtuma anafanya comedy, huku Sisi tunachukulia anamaanisha
Hizo comedy enzi za jiwe ndio zilimbeba!!ameshindwa kusoma alama za nyakati!!
 
JamiiForums-1711709258.jpg
 
Back
Top Bottom