share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Chizi mwandamizi eti naye alikuwa RC!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi mwandamizi eti naye alikuwa RC!!!
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa
Niende moja kwa moja kwenye maada
..kwa mtazamo wangu nahisi huyu bwana rc chalamila kafanya makusudi kutangaza habari ya mabango ili rais amtengue .
Kuna makabila ya wanyakukyusa na wahehe kufokewa ma mwanamke yeyete ni dharau kubwa sana hata nyumbani kwako huwezi heshimika kabisa nahisi akaona atafite sababu ya kuondokea tu
Je hiyo clip 'original' inayohusu 'mabango' aliyoitoa kwa waandishi wa habari uliisikiliza mwanzo hadi mwisho, je maudhui yake yalikuwa ni kile ulichoandika?Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa
Niende moja kwa moja kwenye maada
..kwa mtazamo wangu nahisi huyu bwana rc chalamila kafanya makusudi kutangaza habari ya mabango ili rais amtengue .
Kuna makabila ya wanyakukyusa na wahehe kufokewa ma mwanamke yeyete ni dharau kubwa sana hata nyumbani kwako huwezi heshimika kabisa nahisi akaona atafite sababu ya kuondokea tu
Mkuu umetumia neno 'nadhani' natumaini haujasikiliza clip hata moja kwenye mtandao wa You tube kuhusu kadhia hii.Kwa mtazamo wangu mimi nadhani RC hakuwa na maana ya kuhamasisha watu waje na mabango ya matusi ya kumdhalilisha MAMA. Kwasababu zifuatazo:
1. Kama alikuwa na nia ya kuhamasisha watu kuja na mabango ya matusi ya kudhalilisha, angefanya mpango huo kwa siri, na asingeweka wazi hadharani...
Mkuu ungependekeza kabisa ilitunapo jadili tunatoa na mfano kuwa fulani anaweza.Tatizo la nchi yetu hakuna vetting ya maana ndiyo maana leo akina Hapi ni viongozi
Mkuu mbona una akili ya pimbi!Mkuu umetumia neno 'nadhani' natumaini haujasikiliza clip hata moja kwenye mtandao wa You tube kuhusu kadhia hii.
Ninaona 'umedhani' sahihi na ndiyo ukweli...
Awamu ya tano imeweka historia ya kuteua na kulinda majambazi ya kutumia silaha na vichaa.Huyu wampeleke Mirembe
Sikanushi kuwa aliongea na waandishi wa habari wala sikanushi picha ile, isipokuwa ulichokiweka kwenye mada hii ni clip ya kupikwa, utopolo mtupu na chuki binafsi za dhahiri kwa kiongozi huyo.Mkuu mbona una akili ya pimbi!
Picha nayo ni fake?
Kwani utopolo wa Chalamila umeanzia Mwanza.
Sisi tulifanya kazi yetu kuonya juu ya utaahira wa Chalamila toka akiwa Mbeya.
Kubali tu kuwa huyu Chalamila ana utaahira ulioshindikana.
Asingefungua domo lake kama kawaida yake, bado angekuwa Mkuu we Mkoa sasa hivi.
Ni upumbavu tu,huyu jamaa alifit sana pale Mbeya.wamemuonea tu kwan kafanya baya lipi la kustaili kutenguliwa?
Kuongea tu kimzahamzaha,Kwani Chalamila alifanyaje?
Duh 😂Huyu wampeleke Mirembe
Ila mma ujinga wenu special wa kusema mwendazake kauawa! Mna ujinga nyie!Uongo hao ni wanachadema wa Mbeya walishangilia alipohamishwa. Mwanza hatuna ujinga huo!
Acha chuki binafsi, kwenu nyumbu wa saccos kiongozi wenu ni faru John tu wote waliobakia sio viongozi. Hapi ni bonge la kiongozi, kawazidi wengi tu mule saccos ya ufipa.Tatizo la nchi yetu hakuna vetting ya maana ndiyo maana leo akina Hapi ni viongozi