Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

Nakuunga mkono, yaani me ndo ningekuwa Rais watu kama hawa Mdude ni kuwapelekea moto tu
 
Huyu huyu aliyesema tunaweza kupata makamu mchawi akamroga rais ili yeye ndo awe rais, au ni majina tu yamefanana?
Unaona Sasa, kumbe ulikuwa unamcheka mtu ambae humjui.
Nimekuambia karudi, na POLE SANA
 
Back
Top Bottom