ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama hakuna mbona TRA inswafu hua? Rais anatoa decree tuu ,mbona ni wachache mnasakwa na kushikishwa adabu tuuKasome sheria ya leseni ya biashara, kwanza katika adhabu hakuna kufungiwa biashara Bali fine au kufunguliwa kesi mahakamani. Muwe mnasoma kwanza kabla ya kuropoka.
Sawa. Fuata Sheria za Tanzania bila shurutiSiwezi kuhama Kwa ujinga na utaahira wa viongozi wa CCM . Mimi ni mtanzania na nitakaa Tanzania.
Nenda China ule Rushwa uone. Unadhani ni kama huku unaiba adhabu ni kuitwa stupidKumbe mnafanya siasa ,hakuna malalamiko? Samia aache kuleta huruma za kimama kwenye masuala ya Nchi.
Mwisho wewe punguani Kuna Nchi Haina Rushwa Dunia hii?
Wewe achaga kuwa kima ,tangu lini mkulima asiwe mfanyabiashara? Na Kwa taarifa Yako wafanyabiashara 90% wa Mikoani ji wakulima na wengine wameacha hata hizo za kuzozana na TRA wamesalia na kulima.na ufugaji tuu.Ukisema u mkulima, Leo unadai unauza bidhaa za KILIMO!!
KAZI Yako ni uchawa, huna unachofanya zaidi.
Kwahiyo unataka mla RUSHWA aliyesababisha bandari kuuzwa Kisha gharama za bandarini kuongezeka ndiye aje kuzifunga biashara kariakoo?Kumbe mnafanya siasa ,hakuna malalamiko? Samia aache kuleta huruma za kimama kwenye masuala ya Nchi.
Mwisho wewe punguani Kuna Nchi Haina Rushwa Dunia hii?
Mimi binafsi nawapongeza sana huwezi kufanya biashara kwenye jamii mfu, (silent society)Kwetu kuna msemo "buli kuundi buli kumbali" (kama siyo shida yako, Iko pembeni/siyo shida yako). Hawa wafanyabiashara ni wao wanaojua mambo wanayoyapia. Ni wao wanaopata hasara kama wakifunga maduka, lakini kama wameona heri wapate hasara kuliko faida wanayoipata inayoambatana na kero wanazozilalamikia, pengine zinanazo wapa hasara na kushindwa kulipa kodi wanayotakiwa walipe, halafu hatua waliyoichukua wewe usiyopata hiyo kero/hasara, naona ni ukosefu wa consideration na kwa kiongozi ni lack of good judgement.
Rushwa zinaliwa licha ya adhabu ya kunyongwa.Nenda China ule Rushwa uone. Unadhani ni kama huku unaiba adhabu ni kuitwa stupid
Lipa Kodi. Acha kuchambaWewe achaga kuwa kima ,tangu lini mkulima asiwe mfanyabiashara? Na Kwa taarifa Yako wafanyabiashara 90% wa Mikoani ji wakulima na wengine wameacha hata hizo za kuzozana na TRA wamesalia na kulima.na ufugaji tuu.
Mimi biashara ni ya kuzugia ila shughuli yangu kuu ni Kilimo.
Na Rais akifanya hivyo hatadumu hata mwezi madarakani. Unafunga biashara, unajua ni mnyororo gani utavunja Kwa kufunga biashara za watu Tena Kariakoo.Kama hakuna mbona TRA inswafu hua? Rais anatoa decree tuu ,mbona ni wachache mnasakwa na kushikishwa adabu tuu
Endelea kuwa na funza kichwani mwako,hujui kinachoendelea ndiyo maana unaropoka ropoka tu kama chiziHakuna Cha genge,Mimi nauza dawa la bidhaa za Kilimo,Kodi nalipa na maisha yanaenda,kwamba nyie pimbi wa Kariakoo ndio mna malalamiko sana kuliko sisi wa Mikoani au?
Serikali iwashughulikie tuone itapata hasara zipi.
Sheria ipi inaruhusu kufungiwa biashara kisa mgomo.Sawa. Fuata Sheria za Tanzania bila shuruti
Gharama za BandariKwahiyo unataka mla RUSHWA aliyesababisha bandari kuuzwa Kisha gharama za bandarini kuongezeka ndiye aje kuzifunga biashara kariakoo?
Ndio maana nasema Samia anawachekea si unaona unavyoongea upumbavu hapa harafu uchumi uko paralysede.Kwahiyo unataka mla RUSHWA aliyesababisha bandari kuuzwa Kisha gharama za bandarini kuongezeka ndiye aje kuzifunga biashara kariakoo?
Kasoma masharti ya Leseni yako. Au wewe machinga?Sheria ipi inaruhusu kufungiwa biashara kisa mgomo.
Ndio nimekuambia nenda China halafu ukale rushwa ndio utajua wananyonga au hawanyongi.Rushwa zinaliwa licha ya adhabu ya kunyongwa.
Scandinavia countries hata hawanyingi mtu ila ndio Nchi Zenye Rushwa kiduchu sana ila sio China.
Bora kuwa na funza kuliko kujaza kamasi na kuchekea wapuuzi wanaoleta siasa kwenye uchumi.Endelea kuwa na funza kichwani mwako,hujui kinachoendelea ndiyo maana unaropoka ropoka tu kama chizi