kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Sipo hapa kujadili sababu za watu kutungishana mimba.Kabla ya kuangalia rasimali zetu kama zinatufaidisha au la
Tuangalie hizi akili za kutungisha mimba siku ya kujifungua hata Elfu 50 huna
Haya tuchukulie mtoto amezaliwa anataka nepi, chandarua, maziwa lishe, vyakula vya mama mzazi, blanket
Unataka na Serikali ikupe Bure eti kwakuwa unalipa kodi
Hoja yangu ni kwenye uwezekano wa watu kukosa elfu 50. Na pia, uzembe wa serikali kushindwa kufikisha huduma za afya ipaswavyo.
___
Kuhusu hoja yako ya sababu za masikini kuzaliana, tafiti mwenyeweni kwa nini hata katika nchi zenye vita ama wakimbizi wanaendeleana kupeana mimba hata katikati ya masaibu.