Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Sasa kama una njaa ukipata upenyo si utaiba cement?Duh noma sana hii challenge!...
Anyway wakuu mimi ni surveyor na fundi tiles, paving blocks mwenye kimeo anipe jamani njaa itaniua kwenye huu mji wa watu
Kwa kuwa Mimi nina zaidi ya miaka 78 naomba Kamati ya kuandaa hilo pambano lione namna ya kuniondoa kwasababu ya UzeeWaoga Sana, wengi ni keyboard warrior.
ila Nina imani TUKANA UONE, Vishu Mtata, Grahams wata kuja ili kutoka jahazi.
Ndiyo unachowaza hicho mkuu😁😁😁🙌huyu jamaa sijamuelewa,anamaanisha kumweka sokwe kifo cha mende kunako 6 kwa 6? Kama ni hivyo basi nimeshinda.
Quantuty surveyor or Land SurveyorDuh noma sana hii challenge!...
Anyway wakuu mimi ni surveyor na fundi tiles, paving blocks mwenye kimeo anipe jamani njaa itaniua kwenye huu mji wa watu
Ndiyo unachowaza hicho mkuu
Mi nataka tumuoneshe kazi akiwa na mbwa wake hao hao. Anakutana na vitoto anavitishia anataka kutuvimbia wanaume woteMwakinyo ni shosti tu anaetegemea support ya mbwa wake. Man 2 Man Mwakinyo ni kama mtori tu😂 anyan'ganywe mbwa kwanza halafu tuoneshane makali.
Hahaha 😂Hiyo avatar yako!!!😵
Hiyo ndiyo starehe yangu, naweza kula Hadi 20 mkuu.Jana nimeona mahali--hata mashindano ya kula chapati.
Mshindi kala 12(ameniangusha sana).
Kuna majamaa nilikuwa nao boarding--wakiitwa kwenye hii show ,wanaweza maliza zote zinazoshindaniwa.
Gentleman punguza taarab, we jaribu wenzio walio jichanganya wali ishia kupostiwa na mishumaasijaribu wala sijaribiwi gentleman,
watashindana lakini hawatashinda
Mi naona ma legend ndio mtu ongoze kwenye pambano hili, wewe, ERoni na Shimba ya Buyenze muongoze vita hii dhidi ya sokwe huyu.Kwa kuwa Mimi nina zaidi ya miaka 78 naomba Kamati ya kuandaa hilo pambano lione namna ya kuniondoa kwasababu ya Uzee
Kama mnavyofahamu, Wazee kwenye hii Nchi tumebaki wachache, kwahiyo mkinishinikiza kupambana na huyo sokwe na nikadundwa
Taifa litakuwa limepoteza Mzee muhimu sana kwenye hii Nchi
Kwa ridhaa yenu, nashauri hilo pambano wapelekwe Vijana waliotoka juzi juzi JKT na wale waliomaliza Vyuo vya juu hivi karibuni na kuambiwa waende VETA 🤗
Kweli Vijana hamtupendi Wazee wenuMi naona ma legend ndio mtu ongize kwenye pambano hiki, wewe, ERoni na Shimba ya Buyenze muongoze vita hii dhidi ya sokwe huyu.
Nitumie location whatsapp, nitakuja peke yangu. Tafadhari location usiiweke hapa hiyo 5M naihitaji sana.Waoga Sana, wengi ni keyboard warrior.
ila Nina imani TUKANA UONE, Vishu Mtata, Grahams wata kuja ili kutoka jahazi.
rih in advanceNitumie location whatsapp, nitakuja peke yangu. Tafadhari location usiiweke hapa hiyo 5M naihitaji sana.
Chagua sokwe mwenye afya akipigwa azimie kweli na sio kufa, huwa siui ndugu zako.
kwamba baada ya pambano wanasindikizwa chini ya tani sita za mchanga na wimbo wa Tuonane Paradiso Kwenye Mjii wa raha, tena bila milion5 dah!Gentleman punguza taarab, we jaribu wenzio walio jichanganya wali ishia kupostiwa na mishumaa