Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #141
Gentleman shughuli isha kamilika, mpinzani ana kusubirikwamba baada ya pambano wanasindikizwa chini ya tani sita za mchanga na wimbo wa Tuonane Paradiso Kwenye Mjii wa raha, tena bila milion5 dah!
Hahahahah anategemea mbwa kama si ufala ni nini?Mi nataka tumuoneshe kazi akiwa na mbwa wake hao hao. Anakutana na vitoto anavitishia anataka kutuvimbia wanaume wote
We dogo andika rip sio rih, mi mtakatifurih in advance
Nipo tayari mkuuFursa hii ila vigezo na masharti kuzingatiwa, hela uta pata Baada ya pambano na sokwe.
View attachment 3320066
We boya hiyo ni rest in hell 😁😁We dogo andika rip sio rih, mi mtakatifu
Niandikie rip mi huko hell siendi 😀We boya hiyo ni rest in hell 😁😁
nime tweza wapi?, na origin ya mtu mweusi ni ipi?.Umeungana na wazungu kutweza utu wa mtu mweusi...ili wakirudi huko kwao waanze kuonyesha kwenye majumba ya cinema. ...jinsi modern African wanavyofight their origin
Ila we Jamaa una sifa sana 😂😂Sasa kama una njaa ukipata upenyo si utaiba cement?
nina mpango wa kutengeneza chama chenye nguvu, sio dhaifuMheshimiwa unataka chama kipunguze viongozi
Kusanya sokwe panga siku twende Gombe kogoma huko 🤣🤣nina mpango wa kutengeneza chama chenye nguvu, sio dhaifu
NaamHakuna anayeweza shindana na huyo kiumbe. Hao wazungu ni wapumbavu. Wangepambana nae wenyewe.
Dah we jamaa Kunguru aisee 😂 🤣Ndugu hilo dude miaka yote linaishi kwa kula organic, linaruka kwenye miti, mvua, jua hana kivuli. Uende upeleke sura yako eti upambane naye. Yeye atakuona kama adui yake wewe unaenda kama mpinzani sasa ana akili ya kutofautisha hayo?
Twende tukaokote nazi mkuu achana na hizi challenge za kuuana.