Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

Watu bwana
 
Mimi natafuta video fulani..yaani "inasemaekana ni ya Kongo, hapo jamaa wanasafiri kwa shida sana gari ni zile Lori za zamani, Kila hatua ni matengenezo lkn finally wanafika,, mwenye background Kuna wimbo wa Lesi wa nyika wa Safari...

Msaada kaka Mshana Jr
 
Picha ya graduation πŸŽ“ ya VETA wait, wale jamaa sijawahi sikia wana graduu.
 
kuna ile picture jamaa kashika vitabu kifuani mkono mmoja wa pili kashika mwavuli, mvua inanyesha na anatembea ndani ya maji ya mafuriko.
Hata hivo vitabu havijakingwa vema na ule mwavuli wake, na anakoelekea ni kama maji yanazidi kina zaidi na anaenda kuloana zaidi yeye na vitabu vyake.

Nisaidie mkuu Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…