Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Wamesuswa kabla ya kususa
 
Na nikwambie kitu kimoja pamoja na ccm kujidanganya kuwa watu ni waoga lakini sio wote nakwambia majasiri tupo hata kama ni wachache lakini tupo mark my words.
 
Kuongozwa na mkosa akili ni kazi sana, matokeo yake ndio haya sasa tunayoyaona mtu anaaagiza yafanyike mambo ya kipuuzi kweli yeye anaona ndio ujanja, mpaka aibu aisee.
 
Ila kisheria chama cha siasa ili kiwe chama cha siasa ni inatakiwa kiwe na maono ya kumiliki dola. Kushiriki uchaguzi ni namna ya kuonyesha kua una maono ya kumiliki dola.

Usiposhiriki uchaguzi unakua hauna tofauti na asasi nyingine za kiraia ambazo zinawasemea wananchi.

So kwa hivi vyama kutoshirikia uchaguzi naona wanamrahisishia msajili wa vyama kuvifuta hivyo vyama. Hii ni Political Parties and Election, MSD III.
 
Mtoto akiongea maneno ya kikubwa tunasema "mtoto amekua" ila mkubwa akiongea maneno ya kitoto kuna walakini mahali.
 
Afute vyama vingi aone mabeberu watakavyomkaanga, mabeberu wa kiarabu tu walimtoa jasho mpaka akurudisha dhahabu zao zilizo kamatwa Mwanza akaamuliwa kuwaachia na wale askari nane kutoka gerezani Butimba na akatii, sasa achokoze mabeberu ya kizungu yamuonyeshe kazi.
 
Hatua ya kwanza ndio hii kujitoa, yeye si anasema mhimili wake umejichimbia zaidi, sasa atajaza mwenyewe na mhimili wake?
 
CCM waliingiwa na wazimu nini?, hivi ilikuwaje wakampa nchi huyu jamaa?, taarifa zake tunazisikia kutoka vyuo mbalimbali ina maana hata tiss hawakuwa na taarifa hizi
Ndio jambo la kushangaza maana kuna taarifa zake za utata wa uraia wake, shule ya msingi, sekondari, nenda sasa huko unakosema vyuoni taarifa zake sio za kuridhisha hata kidogo, tiss mlikuwa wapi? Au kazi yenu ni nini hasa mbona nchi hii mmeiletea majanga?
 
Mbinu za kudhibiti huo mchezo mchafu ni kususia uchaguzi.
Chadema, Act wamechukua hatua nzuri sana kukataa kubariki uchaguzi haramu uonekane halali, akileta za kuleta na 2020 hakuna kushiriki wajipitishe wenyewe tu wapate ushindi wa kishindo mapimbi hawa.
 
Tofautisha kushiriki uchaguzi na uchafuzi, huu ni uchafuzi sio uchaguzi.
 
Tofautisha kushiriki uchaguzi na uchafuzi, huu ni uchafuzi sio uchaguzi.
Kwa tafakuri ya kawaida.

Mtu amekua radhi kukuondoa kwakua hukufuata taratibu ambazo hakukwambia. Atashindwa nini kukufuta kama chama kwa kutoshiriki?

Mi naona hiko ndiyo kinachoviziwa.
 
Nchi vipande vipande. CCM inavuna ilichopanda. Tukianza kushughurikiana mitaani sijui moto utazimwaje, soon tutaheshimiana, make hakuna uovu uliowahi kushinda haki
 
Mnakula kwenye hamna
 
Kwa tafakuri ya kawaida.

Mtu amekua radhi kukuondoa kwakua hukufuata taratibu ambazo hakukwambia. Atashindwa nini kukufuta kama chama kwa kutoshiriki?

Mi naona hiko ndiyo kinachoviziwa.
Hebu afanye aone maana Jiwe karibia anaingia kwenye kumi na nane za mabeberu, watamtwanga one strike.
 
Yaani 2025 mbali hivoo, tufanye maamuzi 2020 tusivumilie mateso mpaka 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…