Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Pascal Mayalla, Utakuwa mjinga hasa kushiriki kwenye kitu ambacho unajua hakina maana kwa sababu hakina matokeo ya maana.
Kwenye udikteta uchaguzi huwa hauna maana na wala huwa hauzai matokeo yoyote chanya. Ni vema kuwekeza kwenye jitihada ambazo unajua unaweza kufanikiwa au kushindwa kuliko kuwekeza mahali ambapo unajua kwa uhakika wa 100% hutafanimiwa.
Hongera sana CHADEMA, hongera ACT. Sasa ni wakati wa kuamua kuwekeza kwenye nini ambako tunadhani tunaweza kupata matokeo chanya.
Report ya TWAWEZA - CCM inapendwa na kuungwa mkono zaidi na watu wajinga. Mipango yoyote ya kuondokana na udhalimu wa CCM ilenge kwenye kutumia akili, na huko CCM kwa kuwa wengi ni wajinga, ushindi utapatikana.