Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Usikose kusililiza hapa

Wana weweseka sasa sawa na mchawi aliye nasa kwenye nyaya za umeme
Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?
 
Jamaa wamekuwa wababe utafikiri askari wa zamani wa kimakonde; ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale, ukilala nchale, ukichuchumaa nchale.
 
Hajaua upinzani Bali kaua vyama vya upinzani,Bali upinzani kama upinzani unaishi ndani ya mioyo ya watanzania hivo kuuua lazima aue mtu ndo atakuwa kaua upinzani.
Mi mke wangu nimemtuma kachukua kadi ya ccm akitoka kwenye vikao vyao ananiibia siri nami nawapelekea CDM, miccm bado inakenua eti imeongeza wanachama wengi, pumbavu kabisa
 
Wamestuka angewaweka ndani wote hadi uchaguzi mkuu upite,kama aliwezabomoa nyumba za watu nini kuwaweka ndani.
Kwa jinsi anavyo ona utamu wa kuweka ndani wenzake sijui kama akiachia kiti watu wataheshimu katiba kifungu cha kutoshitaki wastaafu. Yale ya Chiluba yata jirudia hapa
 
Ya chiluba yatajirudia Maisha ni upepo.Atazamae kesho atembei gizani
 
Mh. alisema wazi bila kificho kuwa atahakikisha upinzani unakufa. Sasa upinzani umewarahisishia kazi ya ku-uua. Bado mnataka uwepo kwenye uchaguzi!, mbona mnatuchanganya! Mnataka nini hasa?
Tunataka roho zao!
 
Hajaua upinzani Bali kaua vyama vya upinzani,Bali upinzani kama upinzani unaishi ndani ya mioyo ya watanzania hivo kuuua lazima aue mtu ndo atakuwa kaua upinzani.
Na tena si mtu mmoja, aue nyumba hadi nyumba na idadi ifikie watu mil 20,na hataweza atakuwa ameuawa yeye
 
Back
Top Bottom