Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Kwa Sasa wewe ni maskini na hatuwezi kuvunja katiba ya chama chetu

una bahasha kwa wajumbe tukufikirie Kiana??
Ni vyema mkanifikiria halafu bahasha zifuate, Kumbuka uzoefu wangu unaweza kukipeleka chama kwenye kukuwa kiuchumi.
 
unataka kuwa rais wa majobless alaf unataka kuanzisha kilimo cha mahind?
Ndiyo mkuu, mahindi ya popcorn katika mikoa ambayo hayalimwi ni kati ya 4000-6000 huoni kwamba tukizalisha tani 100 chama kipo mbali?
Nina kila kigezo cha kuwa rais mkuu.
 
Ndugu Mjumbe


Nikiwa kama Mwanasheria wa Chama nipende kukumbusha kuuheshimu Uongozi wa Chama Uliopo hasa Rais na Muanzlilishi wa chama Chetu....

Nipende kukupa Onyo kuwa ukiendea na propaganda zako basi Uongozi wa chama hautokutambua kama mwanachama wa chama chetu pendwa


Ikitokea kuna mabadiliko yoyote ya Uongozi wanachama wote watataarifiwa kwa ajili ya kutafuta Mrithi wa Nafasi iliyopo wazi...


Kwa sasa ndugu mjumbe endelea Kunganganiana Remote na Mtoto wa dada yako


Imetolewa na Selikavu

Mwanasheria wa Chama cha Majobless Tz

NAKALA kwa

Rais Intelligent businessman
Makamu Monetary doctor
Katibu min -me

Msemaji makutupora

Waziri wa mambo ya Ndani Edo kissy
Waziri wa Ulinzi Thecoder

Waziri asiye na Wizara maalumu dosho12

Mjumbe wa kudumu Razorblade
 
Kwa hatua aliyofikia kiongozi wa juu sina haja ya kuisujudia sheria, hakuna haki inayopatikana kirahisi huyu atang'oka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…