Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Naona tetesi zinatimia kuwa kweli
 
Namuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima, Chalamila, Mongela, Makonda, Sabaya yupo jela...........
Ongeza na Majaliwa Kassim,
CCM ya Kikwete, Makamba, Membe, Tibaijuka, Viccy Kamata, Diallo, Assad na Mafia wengine kifo chake kinakaribia!
 
Mkuu tukikupekua tutakuta una kadi ya ccm
Zamani kabla ya kujiunga chuo kikuu sharti moja wapo ilikuwa kuwa na kadi ya chama kati ya 1965-1990; baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa utaratibu huo ulifutwa ikabaki sifa za kitaaluma pekee.

Nililazimishwa kukata mwaka 1989 nikiwa JKT kwa mjibu wa sheria na kabla ya kujaza fomu za kujiunga na chuo na nililipia ada ya shilingi 60 tangu baada ya hapo nikatupa kapu la taka
 
Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.

Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Full stop
Mjadala umeufunga
 
Kama umefika chuo kikuu mbona reasoning Yako kama ya std 7

unadhani chama kipya kiweza kufanya siasa katika mazingira MAGUMU tulio nayo Sasa bila ya katiba mpya??

Acha ushabiki kaa tafakari kabla ya kuandika
 
Wananchi hatutaki chama kipya,Tunataka katiba mpyaaaa
Mbona unajificha kwenye migongo yetu? Unasema 'wananchi hatutaki chama kipya'; ni Watanzania wangapi uliwasiliana nao wakakuambia hivyo? Mbona wapo waliopeleka maombi ya kuomba kuanzisha chama kipya? Ina maana wapo wanaotaka na wasinyimwe matashi yao. Kama wewe hutaki hilo, umepewa siku 21 kupeleka pingamizi kwenye Tume. Kesho na keshokutwa chama kikianzishwa usije kulalamika kama leo hii unabakia kulalama tu hapa JF. Kamwe usiseme 'wananchi'. Jitaje mwenyewe na kikundi kinachokuwa na mawazo kama yako. Mwachie uhuru Mtanzania mwenzako mwenye mawazo tofauti na wewe.
 
Kama umefika chuo kikuu mbona reasoning Yako kama ya std 7

unadhani chama kipya kiweza kufanya siasa katika mazingira MAGUMU tulio nayo Sasa bila ya katiba mpya??

Acha ushabiki kaa tafakari kabla ya kuandika
Hata darasa la saba sikufika unataka nikufurahishe wewe ili nipate kitu gani cha maana?

Hiyo 'reasoning' unayoitaka niitoe ni ipi? Kwani kusoma hadi chuo kikuu ndio kuelimika kwa mtazamo wako?

Why are you trying to characterize yourself as a skunk?
 
Mstakabari wa nchi hii hauwezi kuamliwa na kundi cha kiiwete.
Lazima wenye akili tutumie akili kuona tutakomboaje nchi hii
 
Ok
 
Unamaoni gani kuhusiana na chama hiki kipya Cha Upinzani?

Ni chama kweli?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…