CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Shemeji yenu anasema magoli atakayofunga Stars leo ndo magoli yangu bedball .... half tayari mbombo ngafu, leo nalala bilabila 🤣🤣
Stars nifanyieni wepesi
Mama piga simu moja morocco tafadhali 🤣
Kama ni utani sawa ila mke kukupangia kukupa k mpaka Tanzania wapate goli ni upuuzi


Tz haipati goli na Leo ndo unatakiwa kumpiga goli za kutosha aacha upuuzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…